Iringa nimepaelewa!!!

Iringa nimepaelewa!!!

Kweli. Kitimoto pale Kihesa unapiwa ya kufa mtu kwa bei cheeee!
Mimi naona Iringa Njombe Songea Mbeya na Rukwq kote kuna shida mzunguko wa pesa....angalia vyakula vinauzwq bei kutupwa sababu wingi wake na hakuna pesa za kununua....uliwa na fixed income utaishi kwa raha sana maisha yako chini sanaa
 
Hapa ndio umeongea sasa.
HUku asilimia kubwa watu wana vyakula ndani.
Hata hivyo siku hiz tunaona mzunguko upo kwakua wageni wameongezeka sana Iringa kwasababu ya vyuo tofauti na zaman.

Iringa ukiwa na assurance ya kuwa na 300k income kwa mwezi kama huna majukum ya lazima yale kama school fees wewe unaishi maisha mazuuri sanaa
 
Umepaelewa kwenye angle ipi?
ukisema umepaelewa tu bado unakua hujafahamika,
kua specific coz naona kuna wachangiaji wamesha anza kusema hakuna mzunguko wa hela,vyakula ghali,hii yote ni kwasababu hujasema wewe umepaelewa kwenye angle gani au kwenye jambo gani,

Au nakosea ndugu wananchi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom