Karibu Iringa

Karibu Iringa

nyumbatatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,076
Reaction score
940
FB_20160705_20_40_19_Saved_Picture.jpg
FB_20160705_20_40_37_Saved_Picture.jpg
FB_20160705_20_40_32_Saved_Picture.jpg
FB_20161009_15_11_50_Saved_Picture.jpg
FB_20160428_18_08_09_Saved_Picture.jpg
FB_20160428_18_08_09_Saved_Picture.jpg
FB_20160703_11_50_20_Saved_Picture.jpg
FB_IMG_1473768929051[2].jpg
 
Hapa tumepelekwa. Chaka mkuu!! Hapo ni india,kuna maandishi hapo! Halafu angalia plate number ya gari
Transit mkuu!, picha kupigwa wapi sio tatizo!. Mbona mlima Kilimanjaro upo huku lakini wageni waendaga kule zaidi
 
yanaliwajee?
Mikusu inaliwa kwa kuipasua Na kufyonza maji yake (Ni mazito flani hivi), kwa ndani yake Kuna vipeke viwili(mbegu), unavitema, minyeewa(matangadasi), Ni Kama matunda Fulani ya pwani yaitwa mabungo,(Ni jamii moja ila yana radha tofauti), misasati yenyewe ina nyama kidogo kwa sababu peke lake (mbegu) inakaribiana ukubwa Na tunda lote, Ni Kama asilimia 95 ya tunda inachukuliwa Na hilo peke, kwa hiyo unatupia mzima mzima halafu unamung'unya taratiibu, itapopoteza radha basi unatema peke Na kurushia jingine mdomoni, radha yake Ni ya kuchomachoma Kama mint Ile ya kwenye big G,
 
Du, wanyalu kumbe bado hamjaacha asili yenu!!
 
Back
Top Bottom