Karibu Dom .........The Finest

Hujawahi tanabahisha ukazi wako kwa mkoa huu.............na last tyme nilkuambai tukutane nyerere square tuwaone wale mabinti wanjianika hukutokezea!

siku ile niliogopa na mimi ningeönekana najianika bure.
 
Finest hebu weka wazi sababu ya safari yako....sijaiona kwenye rosta.
 
Duh! Dom patawaka moto weekend hii! ngoja nijiandae kwenda kwa gradu pale UDOM kesho 26th nov.

KARIBU!

Aiseee na mimi ntatafuta kasiku niende Dom, kumbe kuna wenyeji wa kumwaga

KARIBU!

siku ile niliogopa na mimi ningeönekana najianika bure.

Uliogopa bure sie tungekuwa observers............haya shime jongea mjini tuwapokee wageni.............tuna ugeni mkubwa this time!

ahsante bibie je utanipokea?

Huyu ndiyo itakuwa kamati yetu ya mapokezi
 
Huyu ndiyo itakuwa kamati yetu ya mapokezi[/QUOTE]

Aiseeee itakua poa sana mkuu, nadhani nita enjoy na Husninyo
 
KARIBU!

KARIBU!

Uliogopa bure sie tungekuwa observers............haya shime jongea mjini tuwapokee wageni.............tuna ugeni mkubwa this time!

Huyu ndiyo itakuwa kamati yetu ya mapokezi

huyu tf sijui anang'aa masharubu yake wapi. Mi niko town ila simuoni. Halafu hawa wageni wa leo aisee wafanye haraka warudi kwao, wameleta foleni utafikiri tupo dar. Lol.
 
mhhhhhh nimekosa la kusema kwa kweli...lol
 
huyu tf sijui anang'aa masharubu yake wapi. Mi niko town ila simuoni. Halafu hawa wageni wa leo aisee wafanye haraka warudi kwao, wameleta foleni utafikiri tupo dar. Lol.
Lol.....una kesi wewe kama mambo yenyewe ndiyo yale....hahaha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…