Karibu Dodoma, hii ndo Dodoma kwa Ufupi

Karibu Dodoma, hii ndo Dodoma kwa Ufupi

mhmhmhm kwa ombaomba dodoma ndio kiwandani kwao,mara ya kwanza nilishangaa sana ukiwa hotelini unakula ukienda kunawa mikono ukirudi unakuta ombaomba wamekula msosi wako
Hotel gani ulikuwa unakula? hao wadokozi wako kwenye vicontainer kama kwa Sunja
 
Mji hauna vurugu nyingi kama Dar,kumetulia sana hasa kuanzia saa 1 jioni na siku za week end.
 
Dodoma hakuna kivuko kama kigamboni....
Dodoma hakuna stendi ya kuweza kupaki mabasi 20 kwa mpigo.
Dodoma hakuna juisi ya ukwaju wala embe..juisi ya ubuyu kwenda mbele.
Dodoma ..............................................................................................
Dodoma...............................................................................................
Dodoma...............................................................................................
Dodoma.............................................................................................
KILA KITU DODOMA HAKUNA.......
Hata wagonjwa kama wewe hakuna
 
Wakiziweka ofisi za serikali katikati ya mji watauharibu sana mji. Kama CDA wapo makini basi wasifanye kosa hilo watauharibu mji kabisa. Ofisi zijengwe mbali na mjini kabisa
Hili namie nilikuwa nalifikiria sana,
Wangejenganje ya Mji ili kuutanua,lakini wakiweka maofisi yote mjini basi itakluwa ni kero zaidi ya Dar.
 
Hili namie nilikuwa nalifikiria sana,
Wangejenganje ya Mji ili kuutanua,lakini wakiweka maofisi yote mjini basi itakluwa ni kero zaidi ya Dar.
CDA wameshalielezea hili kuwa kijiji cha serikali kitakuwa Ihumwa kilomita kama 15 kutoka mjini kati
 
CDA wameshalielezea hili kuwa kijiji cha serikali kitakuwa Ihumwa kilomita kama 15 kutoka mjini kati
Safi sana,ila hata hivyo 15km naona badi mjini tu,aisee kumbe Dom kama Zanzibar.
Maana 15km upo kijijini duhhh

Wangepeleka mbali huko kuanzia 50km,ili hapa kati mji ujengeke
 
Safi sana,ila hata hivyo 15km naona badi mjini tu,aisee kumbe Dom kama Zanzibar.
Maana 15km upo kijijini duhhh

Wangepeleka mbali huko kuanzia 50km,ili hapa kati mji ujengeke
Hahaha kwani city center hadi Mbezi kilomita ngapi?
 
Back
Top Bottom