Wakuu nishaurini 'side hustle' ya kufanya kwa Dodoma

Koffi Annan

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2018
Posts
2,625
Reaction score
7,995
Miaka inaenda mshahara una koma moja naishia kula na kulipa watu kodi huku inabidi kuanzisha familia

Kwa wenye uzoefu na mazingira ya Dodoma ni side hustle gani inaweza kuingiza kipato iwe mazingira ya mjini au hata pembezoni ila kwenye kata za watu wengi
Kama kuna fursa yeyote ya biashara mtu umeiona ya mtaji mdogo au hata kushirikiana tusanuane wakuu

NB: muda ninao kwani kazi yangu hainibani sana saa nane tu nakua free
 
Angalia jamii inayokuzunguka inakosa kitu gani cha muhimu then geuza izo changamoto kukupa faida inategemea ulipo kuna changamoto gani kulingana na mazingira yako joh.
 
Aloo ni kweli mkuu, ila kuna wale wapo wanaona fursa hii hapa ambayo inaweza kuwa bora
 
Miaka inaenda mshahara una koma moja naishia kula na kulipa watu kodi huku inabidi kuanzisha familia

Kwa wenye uzoefu na mazingira ya Dodoma ni side hustle gani inaweza kuingiza kipato iwe mazingira ya mjini au hata pembezoni ila kwenye kata za watu wengi
Kama kuna fursa yeyote ya biashara mtu umeiona ya mtaji mdogo au hata kushirikiana tusanuane wakuu

NB: muda ninao kwani kazi yangu hainibani sana saa nane tu nakua free
Dodoma siyo jiji la kibiashara.kwa mtumishi hakuna biashara inayoweza kukuingizia pesa labda kama ni mkatoliki fuga nguruwe pia kuku wa kienyeji,ukifunga wa kisasa hiyo mikoa hawana dili wanapenda kuku asilia
 
Fuga kuku,ama nguruwe,Bata,Bata mzinga...ni UFUGAJI TU MKUU.
MAHITAJI ya nguruwe,kuku,Bata ,Bata mzinga..ni makubwa kwa hiyo miji MIKUBWA

Tafuta eneo pembeni ya mji tafuta na bike uishi pembeni ya mji UFUGE itakulipa ,na kulima bustani za umwagiliaji hata KILIMO Cha mboga mboga matunda ya umwagiliaji inakubali kwa ardhi ya Dodoma,changamoto ni MAJI TU ila ardhi ya Dodoma ni Virgin Ina rutuba haihitaji hata MBOLEA sana na VITU vinastawi... changamoto ni MAJI TU.

Lima kwenye eneo lako tafuta eneo pembeni ya mji SHAMBA uishi pembeni ya mji ila uwe na kaisafiri hata la BIKE
 
Asante sana mkuu kwa nondo kali
 
Kama una una usafiri wako piga Uber mkuu inalipa kwa Dodoma
 
Back
Top Bottom