Karibu Dodoma, hii ndo Dodoma kwa Ufupi

Karibu Dodoma, hii ndo Dodoma kwa Ufupi

Dodoma, Malori yana njia zake, Ukikatisha mujini na Mbaula yako hiyo faini usiombe.
Dodoma soko la mitumba ni moja tu (saba saba)
Dodoma hamna parking ....Hii italeta kero sana parking eti ni pembeni ya barabara
Malaya wote wanajiuza pale barabara ya Iramba
Mwisho wa mwezi ATM zote zinajaa wiki nzima jam (CRDB naNMB) hizi ni balaa, hasa boom la madent likitoka.
Dodoma wikend inaanza siku ya Alhamisi (Siku hii kuna live bands, ladies free...nk hadi Jumapili)
 
Dodoma hakuna mrundikano wa gesti kama Sinza au kwa wahaya Mwananyamala.
Ukiwa na hamu zako kama hujahamia na wife wako, jua utapiga nyeto usiku kucha mpaka umchubue Abdala kichwa wazi
Kuna mabwaya mazuri ya kuogelea na kambale pande za swaswa
 
Taja moja tukaweke makazi ya kuwateka mawaziri

Hapo ni mji mpya gesti ni nyingi sana.
mjimpy.jpg
 
Umesema madada poa wa huko wapo very cheap kama bei gani vile?
 
Dodoma kumepangika vizuri, ila ni vizuri wakautanua mji, ili kupunguza misongamano hapo mbeleni.
 
dodoma madangulo ya kujiuza yapo maeneo ya uwindini saa moja wanaanza kujikusanya
Jumamosi kama mpunga unaruhusu kuna nyama choma mnadani 88 au msalato
Bila kusahau maji yenye ladha ya chumvi
 
Miaka mitano ijayo Dodoma itakuwa mji mwingine, kweli ni kuchangamkia ya kusaka pesa kwa sasa.


Namba 6 nimecheka sana, ni hapo anayeuliza naye hajui eeeeeh
 
Wakiziweka ofisi za serikali katikati ya mji watauharibu sana mji. Kama CDA wapo makini basi wasifanye kosa hilo watauharibu mji kabisa. Ofisi zijengwe mbali na mjini kabisa
 
hata iweje dodoma haiwez tokea ikawa sawa na dar..

washington ina miaka zaidi ya 300 toka usa wapate uhuru lakini haijaifikia new york..

kama umetembea kuiona dunia utanielewa kama ni wa hapa hapa endelea kubishana..
lagos na abuja, joberg au cape town na pretoria, mumbai na new delhi ni mifano hai kabisa
 
hata iweje dodoma haiwez tokea ikawa sawa na dar..

washington ina miaka zaidi ya 300 toka usa wapate uhuru lakini haijaifikia new york..

kama umetembea kuiona dunia utanielewa kama ni wa hapa hapa endelea kubishana..
lagos na abuja, joberg au cape town na pretoria, mumbai na new delhi ni mifano hai kabisa
mbona husemi Mombasa na Nairobi.
 
Si unakuja Dodoma enhe? Hii ndio Dom kwa ufupi....

1. Hakuna Bahari Dodoma....sahau kuogelea labda Dom hotel...saint Gaspar

2. Hakuna madada poa wengi...waliopo ni very cheap...by the way sio wazuri!

3.Hakuna club Nyingiii Dodoma...zipo Tatu nzuri. Club maisha..club 7...labda na club 84. Nyingine ni club uchwara!

4.Hakuna utumbo na miguu ya kuku kama dar..wale wapenzi Wa mbio za kuku..huku vinatupwa...hapa ni kuku Wa kienyeji Tu..

5.Hakuna wauza soseji kwenye mabar kama dar..Fursa hiyo changamkia.

6. Dodoma kila mdada Wa mjini ukimuuliza ana kazi gani anakwambia anasoma udom. ukimuuliza course gani, tarajia kushangazwa...wengine watakwambia HGL!

7.Dodoma vyakula baada ya SAA tano usiku hupati...chips mwisho SAA NNE!

8.Dodoma ukienda bar wahudumu hawana haraka na Mara zote hawana chenchi. Mteja ukija na mwanamke uchangamfu Wa wahudumu kwako unapungua!

9.Dodoma ukipaki gari usiwe na wasi hata ukiliacha kesho unalikuta halijadokolewa chochote na unaweza pata msaada bila kutoa hela, watu waungwana ukiwaambia asante ...imeisha hiyo!

10. Dodoma wanaume wengi waaminifu na wakarimu kuliko wadada...lakini ukarimu wao unakishindo kikubwa...watch out!

11. Dodoma hakuna super market za ukweli kama za mlimani city, wala hakuna mall hata moja...kuna mini market uchwara...Fursa hii wenye Pesa zenu!

12.Dodoma mjini unaweza kutembea kwa miguu SAA moja umeimaliza...mji mdogo.

13.Dodoma mjini hakuna kusweti ila unaungua na jua na unakuwa mweusi...mwezi Wa sita mpaka Wa saba kuna baridi, ukiamka asubuhi umepauka kama ulikuwa unachezea mchanga!

14.Dodoma vumbi mwaka mzima kasoro January mpaka April...nunua miwani...dodoma usishangae ukivaa open shoes vumbi likafika kisogoni...

15. Dodoma gari lako halitaishiwa Mafuta ..hakuna pa kwenda parefu labda uamue kwenda kongwa, Mpwapwa, kondoa, au chamwino...hakuna foleni.

16.Dodoma hakuna waosha vioo vya magari bila mapatano...Fursa hii kama unaweza! Pia Dodoma hakuna wauza chenchi kama wale Wa mwenge na ubungo mataa.

17. Dodoma bado hakuna wafanya biashara wengi Wa kutumia mitandao kama wasap, instagram etc. Ukifungua business yako na ukatengeneza accounts zako za kuuza vitu online ndani ya dodoma...utapata sana chapa...customers wengi...wanavyuo wengi...
Chuo cha mipango, udom, saint John's univ, cbe, chuo cha madini, na vingine kibao! Fursa hii.

Kama upo Dom na waijua vizuri dom unaweza ongeza sifa za Dom unazozijua....
Yatabadilika hayo yote wenyeji na wakuja watakapoanza kuziona na kuzichangamkia fursa.
 
Back
Top Bottom