Hao weupe ndio nasikia wameondolewa ile ndude ,Dodoma kuna Wanawake Weupe kutoka Kondoa hawa ni wapole ,wakarim na wasio wachoyo.
Pia kuna Wanawake Weusi Hawa ni wachapakazi sana.
Karibuni Dodoma
Wewe madame yote hayo umeyajuaje? au wewe ni mnyonya koni?Dodoma hakuna mrundikano wa gesti kama Sinza au kwa wahaya Mwananyamala.
Ukiwa na hamu zako kama hujahamia na wife wako, jua utapiga nyeto usiku kucha mpaka umchubue Abdala kichwa wazi
Ni lazima kuendana na mazingira.jf hii kuna wakati kuna magenius halafu hao hao wanakua punguani.safi sana
Kama kawaWewe madame yote hayo umeyajuaje? au wewe ni mnyonya koni?
Hahhahs vigodoro wala vibeseni hakuna mkuumkuu vpi dodoma kuna visingeli na vigodoro kweli?vip na mahind ya kuchoma wanayotia ndimu?
Mtacheza ngoma za kigogo nazo mpka kuwe na sherehe yaniii hii hatri sanatulioziea mdundiko,?.
Dodoma hakuna omba omba kama dsm. ..changamkia iyo fursa
yes na ndo maana tunatumia id fake.usikute madame b ni ndalichako au asumpta mshamaWangesema kujirejister tulete passport tungeumbuka sana.
Hakuna hodi hodi za umbea, ukisikia hodi unakuja alikwa kuna shughuli jirani, kwa mf. Dua, arobaini na sadaka kwa dini zote, hatuombani chumvi wala majani, kila mtu na maisha yake
Asee na bora usijeAisee sijawahi fika dodoma ila kwa kusoma tu hapa sitamani kufika huko
Kwa nini asije ........ unahisi ataanzisha uchomaji wa mahindi ya kuchoma yenye kuwekwa pilipili na ndimu, au ataanzisha uuzwaji wa miguu ya kuku na utumbo wake ??Asee na bora usije