Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

Nashangaa sana kwa nini SUA mnajiweka nyuma kiasi hicho yaan mpaka sasa waliochaliwa Sua hatujui hatma yetu. Yaani mnashindwa mpaka na hizi mushrooming Universities??

Na kwl jaman watoe tujipange na vp tarehe ya orientation

Wanafanyaga mambo yao kwa uhakika, hawana haraka wala presha!! NAONA MNA HARAKA SANA ILA CHUO MTAENDA NA MKIFIKA MTAANZA KUOMBA MUNGU CHUO KIFUNGWE MAPEMA!!
 
Mm nimesoma hapo that y my name is Fotester najua yote ya Sua ndo maana nikamshauri dogo aende pale sasa mbona hawatoi matokeo???
 
Tembelea website yao kuna baadhi ya degree programs wametupia e.g engineering na rural development
 
sasa naamin kusoma chuo kizur c kutoka na elimu nzur duh ati alisoma? haya bhana
 
Back
Top Bottom