Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

Hahahaaa as a human being u need humans to succeed

Wazo langu hapo ni kuwa inabidi vijana tubadilike kabisa tutumie akili zetu na kusoma vitabu library sio tu kung'ang'ania masimbi, haya hayana tija, ni bora kuja na idea mpya ili kujipima uwezo wako wa kusikiliza lecture na kuandaa personal notes zako. Ndo mchango wangu hapo.
 
Poapoaa nice idea
 
karibun department of agricultural engineering and land planing(DAELP) vijana
 
Habarini wakuu, kwa anayeifahamu hii course kiundani ya SUA, kuhusiana na scholarship opportunity to south africa;
 
Kama kuna mtu anayefahamu chochote kuhusiana na iyo faculty​ anisaide..asanteni members
 
Haina ajira
mama utaweza kujiajiri kwa kujenga maabara kubwa za kiutafiti kama nchi za wenzetu nenda kaisome so maamuz yapo kwako
angalau ungesima biotechnology ya udsm angalau Kwan yenyew imebez Sana kwa plants akat ya udsm ipo pote pote kwa kilimo na binadam asante
 
Back
Top Bottom