Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

....initially watu waliograduate biotechnology sua na udism walikuwa wakiajiriwa wizara ya afya (sawa na watu wa medical lab) na wachache kwenye lab za research na viwandani but kwa taarifa zilizopo mpaka saivi ni kwamba hawana sifa za kufanya kazi mahospitalini sehemu ambayo walichukuliwa kwa wingi.kwa inchi za wenzetu biotech i guess inalipa bt kikwetukwetu nahisi bado sanaaaa.mpaka saivi kuna mgogoro kwa SUA endapo hii cozi iendelee kutolewa especially kwa diploma (not degree)...nakushauri kama una mbadala wa kusoma coz nyingine fanya hivyo...but sikukatishi tamaa pia kama ni first year, mpaka uje umalize yawezekana solution ya ajira na mazngira yake yakawa mazuri...keep and karibu sana SUA.,
 
Mkuu upo..Hiyo I'd yako ninaifananisha na mkuu flani Tabora Boys na baadae Muhimbili!!

Ulitukimbia mzee
 
....initially watu waliograduate biotechnology sua na udism walikuwa wakiajiriwa wizara ya afya (sawa na watu wa medical lab) na wachache kwenye lab za research na viwandani but kwa taarifa zilizopo mpaka saivi ni kwamba hawana sifa za kufanya kazi mahospitalini sehemu ambayo walichukuliwa kwa wingi.kwa inchi za wenzetu biotech i guess inalipa bt kikwetukwetu nahisi bado sanaaaa.mpaka saivi kuna mgogoro kwa SUA endapo hii cozi iendelee kutolewa especially kwa diploma (not degree)...nakushauri kama una mbadala wa kusoma coz nyingine fanya hivyo...but sikukatishi tamaa pia kama ni first year, mpaka uje umalize yawezekana solution ya ajira na mazngira yake yakawa mazuri...keep and karibu sana SUA.,

samahan vipi kwa molecular biology and biotechnology ya Udsm kwa upande wa ajira ikoje?
 
Haina ajira
mama utaweza kujiajiri kwa kujenga maabara kubwa za kiutafiti kama nchi za wenzetu nenda kaisome so maamuz yapo kwako
angalau ungesima biotechnology ya udsm angalau Kwan yenyew imebez Sana kwa plants akat ya udsm ipo pote pote kwa kilimo na binadam asante

Soma tena ulichopost ujiridhishe kama ndicho ulichokuwa umedhamiria.
Kuhusu ajira, naombeni muache kuwa na fikra za ajabu. nani kakwambia siku hizi kuna kozi zenye ajira? Nitajie kozi MOJA tu, kama ipo ambayo waajiri watakuja kutafuta waajiriwa chuoni wanapokaribia kumaliza masomo! Kwa mtazamo wako, hiyo biotechnology ya UDSM uliyodai ime-base kwenye plants itamsaidiaje kupata hiyo ajira? Au KILIMO KWANZA imeshawezesha kilimo cha bayoteknolojia nchini?
 
samahan vipi kwa molecular biology and biotechnology ya Udsm kwa upande wa ajira ikoje?

Anyway sijajua kwa upande wa biotech ya udsm but nadhani course content ni ile ile kwa percent kubwa (kwa mujibu wa prospectus za vyuo vyote viwili)..kama kweli unapenda biotech from your heart nenda kasome..mazingira ya ajira nadhani huwa yanabadilika kulingana na wakati. watu wa biotech bado ni wachache and field bado inakuwa though ni taratibu..nadhani baada ya miaka kadhaa biotech itakuwa na mazingira mazuri tu kwa upande wa ajira pamoja na kwamba ajira za biotech kwa saivi bado ni tatizo....
 
Joining instruction Sokoine University of Agriculture(SUA)
1. Majembe 12
2.Slesha 8
3. Mapanga 4
4. Mbolea ya kuku viroba
5. Mbolea ya ngombe viroba 4
6. Mbolea ya mbuzi viroba 3
7. Ndoo Lita 20 tatu, Lita 10 sits
8. Mafuta ya trecta na maji 500000
9.Gumboot pair 6.
10. Mbegu za mtama kilo 12 pamoja na mbegu za maharage, nyanya, vitunguu, mahindi, na ulezi kilo 10 kila moja! Imetolewa na Waziri Wa chuo Zangwendaba Zulu.
 
Ushaanza kujiita injinia hata chuo kwenyewe hujawahi kupafika, hata orientation hujafanya.

Haya bwana, ila angalieni wadogo zangu, elimu ya chuo sio kama form six
 
Mm nmechaguliwa hapo sua kaka npo DAELP kozi ya agricultural engineering vp ww umechaguliwa koz gan?

namim nmechaguliwa koz hyo hyo ya agriculture engineering
Ukiona mtu wa mwaka kwanza,pili (na kuendelea) anayaesoma SUA, ikifika mwezi wa tisa mwishoni ukiona anasafiri au anakwambia anaenda chuo (wakati mwezi huo chuo kinakua hakijafunguliwa) usimuulize maswali mengi maana anaweza kukupiga kichwa au ngumi!!
 
Kwann unasem hvyo kk
 
Attachments

  • IMG-20151011-WA0008.jpg
    IMG-20151011-WA0008.jpg
    15.2 KB · Views: 122
Back
Top Bottom