JAMAA HUYU
Member
- Dec 3, 2013
- 37
- 12
Mechanical ni mama wa automobile so mechnicl itabak kua juu, ila kwa nit mechancal ni kwa watu wa diplma 2 maana ni miaka 3
rukia r. george nisaidie kuniangalizia
Mimi hapa eng. mwenzko nimechaguliwa automobile pia..check me 0716979180
jaman et logst & trnsport management vp ajira zake azsumbui?? na unaeza ukafanya kaz sehem gan ??
rukia r. george nisaidie kuniangalizia
Sasa hivi wanatoa degree kwenye hiyo course,ni kweli hiyo course ilianza kutolewa kwa diploma na haina zaidi ya miaka miwili tokea ianzishwe.
Hahahah.... Hv Nit pale makut ndio nn kile kilikua kinaendelea j.moc. mbona wale vjana wa Certificate na Foundation walikosa ustarab ni Freshers gan ile asa... Kila mtu anajifanya yy ndio kiongoz.. ma. MC Kibao Dah... 😁
hiyo mechanical ni miaka mingapi mbona kama niliona ni miaka 3 na engineering zote ni miaka 4
Ningependa kujua hostel za nje ya chuo ni bei gani, vipi upatikanaji wa huduma ya maji.... my son will be there
Hostel za nje ya chuo ni 50000
per month hapo unapata na Huduma ya maji na pia chumba kimoja wanakaa watu wanne.
Per semister ni lak mbili kwa wat wanne ni lak nane au
Ndio hapo unapata Huduma ya maji na na umeme husumbuliwi.
Ila ukiwahi vya ndani ya chuo ni cheap sana...
Ila ukiwahi vya ndani ya chuo ni cheap sana...
Kwa uzoef wako kip bora hostel ya nje au kupanga chumba, na ili kuwahi za ndani inakuwaje ni kuwahi kuripoti ama?
Okey vya ndani vinakua how much per semister