Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Missing U Mwanyasi,
Uko Poa?
Yaani yule Dereva, kila siku lazima nimuote, sijui kaniwekea nini.

Juzi kaniuliza wanakuja lini tena?
Nimemwambia aje White Party kafurahi sana, jiandae kumuona tarehe 26.
Missing you too Madame B......!
 
Last edited by a moderator:
Kuna maeneo yametengwa for smoking, ila ni Sportman tu! Ondoa shaka!

Babu haw vijana hatari sana, kuna room nimeiona imeandikwa SMOKE WHATEVER U WHISH, nina wasiwas... na hiyo kitu.


Kumbe Filipo ananiingiza mkenge??

Hanipati ng'o....lol!!

Orodha yenyewe nimeona baadhi ya wapulizaji wapi halafu eti anataka kunipiga chenga la mwili!!
 
Last edited by a moderator:
atunzi nini vile?
Hapa tuna nusu saa tu lakini nimeona makubwa kama tumekaa masaa sita

nini tena kimetokea hapo? manoah yupo? au Chimbuvu? maana hao inaweza kuwa kilio ila kwa Erickb52 waweza muachia mke na watoto na ukarudi ukawakuta wana tabasamu zuuuri hasa mkeo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…