Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Mbona unaweka privacy issue hadharani
Na hapa ulikuwa unafanyaje?
Approach-Women-Social-Natural.jpg

Unamwaga Sera Tuuuuuuu..............
 
Nataka kujua share ya kila mtu ili niweze kuupdate utajiri wenu
Hahahaaa Chimbuvu hapo kazi kubwa ni wanafamilia Amyner na mimi! Bishanga katoa 2% (Sawa na Bure-Aliataka walau kumaintain status yake siunajua wahaya mambo yao) Mr Rocky alinisaidia kuwapa wanangu Gunia la unga kuke Meatu si nikaona na yeye nisimsahau ila yeye ni km 0.00000003% (Samahani km nimekosea ni mambo ya kimahesabu ndio sijui) The secretary huyu ni mtoa wazo coz kwa sasa kafulia sana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom