Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Sasa siungoje ikifika ndio uanze kutongoza?
Achana na kumtaka Arabela na Madame B coz sio level yako!
Hao ni wa sisi kaka zako!

Copy kwa Mungi Mr Rocky Vin Diesel Arushaone na Chimbuvu

Mwambie kbs huyo,
Sisi tumemlea mpaka umri huo.... Erickb52, hebu nipatie hii kitu kwanza ili nipate stimu.........
castle.jpg

Halafu Mwambie yule kaka Aliyekaa paleeeee kwenye Kona( Dr.zero) aje hapa karibu yangu, nimpige ofa.
 
Last edited by a moderator:
Sipendagi mpila mie, ila napendaga Fc Barcelona wanavyo igalagazaga Man U hadi ferguron hua anaugua ugonjwa wa kutetemeka
Njoo pande hii uone hawa Looserpool wanavyoutafuta kwa tochi...hahahah!!
 
Back
Top Bottom