Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

.
6c349fc51fbfc5cb44f8e62d90280c87.jpg
ea9115f6cf57017df3cd4718aebd4250.jpg
Living la Vida loca
 
mkuu umenikumbusha kuna siku tuliombwa na nesi wa zamu tumsaidie kumpeleka mtu mochwari maana nilikuwa na mgojwa hodini nilikubali ila wengine waligoma, tukafika kwenye chumba cha kuhifadhia miili ya waliofariki mara pa umeme huo ukakatika hapo mwili ilikuwa ndo tumeuweka kwenye zile bati ili tupandishe kwenye fregi nilijikuta nipo mwenyewe ndani kila nikitaka kukimbia nagongana na makabati ilinibidi nijibanze kwenye kona mpk walipoenda washa genereta ila nusu kujikojolea
pole sana mkuu
 
Mkuu naulizia macho ambao huwa yanatoa mwanga kama ulivyobainisha kwenye bandiko lako nadhani yanakuwa yako wazi baada ya mtu kufa huku akiwa hajafumba macho. Je wahudumu wa lile jumba hawatakiwi kuyafunga macho yale?
Okay mochwari kuna maiti za kila aina.. Zilizonuna, zilizokodoa macho, zenye hasira, kisasi na hata furaha... Unazitengeneza siku zinapokuja kuchukuliwa
 
mkuu umenikumbusha kuna siku tuliombwa na nesi wa zamu tumsaidie kumpeleka mtu mochwari maana nilikuwa na mgojwa hodini nilikubali ila wengine waligoma, tukafika kwenye chumba cha kuhifadhia miili ya waliofariki mara pa umeme huo ukakatika hapo mwili ilikuwa ndo tumeuweka kwenye zile bati ili tupandishe kwenye fregi nilijikuta nipo mwenyewe ndani kila nikitaka kukimbia nagongana na makabati ilinibidi nijibanze kwenye kona mpk walipoenda washa genereta ila nusu kujikojolea
 
Japo hakuna alie na experience na kifo, hivi unaweza kuelezea muda mfupi kabla ya kufa mtu ninini kiinatokea?
Na je hua ni kweli mtu alie kufa huwa anaona yanayoendelea ikiwepo maziko yake?
Idadi kubwa ya watu walionusa kifo na kurudi duniani..those with near death experience naamanisha walikuwa declared as clinically dead baada ya brain shut down wanakiri kwamba punde baada ya kuanza kukata roho huwa wanakuwa na uelewa wa kila jambo na wanajiona wakiuacha mwili na kuelekea angani in form of energy and soon wanapouacha mwili wanakwambia huwa wanapata amani kubwa sana na kusense kitu ambacho kitaalamu kinaitwa Blissful state na pain inaisha muda huo huo. Na hii inamake senses maana maumivu yako katika miili yetu pekee via neurons, nerve e.t.c kupeleka taarifa za maumivu kwenye brain ambako maumivu yale yanafanya kazi kama survival instinct tu yetu ila rohoni hakuna maumivu ile roho ni energy tu that's why watu huwa wanawaombea marehemu "wapumzike kwa amani" (R.I.P )kwa maana roho ina nature ya kupenda amani utakatifu na utulivu.

Hivyo wanakiri kwamba wanaona kila kitu kinachoendelea duniani.

Sio siri huwa natamani hata nife kesho nishuhudie yaliyoko huko kwenye spiritual world, maana inaonekana kuna siri kubwa sana za kushangaza na kustaajabisa.

Napenda sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom