Kariakoo Lutheran!!Kweli Wakristo ni wana kondoo!

Wakuu tumepiga kambi hapa kanisani kwetu Kariakoo Lutheran baada ya walinzi wetu kuomba waongezewe nguvu kwa kuwa wanahisi kuna watu wanataka kuchoma moto kanisa hili
sisi kama washarika na wafadhili wakubwa wa kanisa letu tumeamua kupiga kambi kila mtu akiwa tayari kupambana ili kuzuia mali zetu zisiharibiwe na hao waabudu shetani
kiongozi mmoja wa kanisa letu amekuja na kutuonya tusitumie silaha kupambana na hao waabudu nanihii eti akidai Yesu alisema mtu akikupiga shavu la kushoto haraka sana mgeuzie na la kulia

kwa kweli kama hali ndiyo hiyo ya wakristo kuchomewa makanisa yao ambayo wao wenyewe ndio wafadhili na wajenzi itakuwa ni jambo la kushangaza kwa sababu wanaumia wenyewe
naomba kuuliza tangu lini mungu akawa rafiki wa watu dhaifu????kwa nini wakristo tunakaa kimya tusijibu mapigo??tutaonewa mpaka lini silaha na elimu sisi ndio tumerithi kwa baba zetu
huu ukondoo sikubaliani nao hata kidogo

KRISTO Hakujibu mapigo. Kesheni mkiomba
 
Unachosema siyo kweli. "WAISLAM haswa" ndo wengi na ni wwazuri tu na wachaMUNGU. "Wanaojidai waislamu" ndo washenzi na ni wachache. UISLAMU haufundishi FUJO, MAUAJI wala SONGOMBINGO. Hata WAKRISTO wapo "wanaojidai kuwa WAKRISTO" wakiwa na malengo binafsi. Hakuna UISLAMU unaofundisha au unaunga mkono "UPONDA" au "UFARID"

nakubaliana nawe, tatizo wachache tu waelewa.
 
Haya ndo madhara ya ule wimbo wa ''Tanzania kisiwa cha amani'' amani iko wapi wakati kuna kundi flani linachokoza kundi jingine na hakuna wa kukemea.
 
Kwa harakaharaka nawaza,labda ni umaskini unasumbua.mana gap ya maskini na matajiri ni kubwa mno.so wengne wanaprefer njia ya machafuko ili kuharibu hazina walizojiwekea hao wanaojiita matajiri.
Lakini pia majira na nyakati labda imebeba unabii wa yanayotokea.

Ritz,hilo la chuki ndilo watu wanajiuliza limeletwa na nani wakati watu walikuwa wanaishi kirafiki,kusaidiana hata kukopeshana mtu akikwama bila kujali dini. Na uhakika Ritz sio kijana mdogo hayo unayafahamu vema toka enzi hizo. Sasa nani kawaloga?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
naomba kuuliza tangu lini mungu akawa rafiki wa watu dhaifu????kwa nini wakristo tunakaa kimya tusijibu mapigo??tutaonewa mpaka lini silaha na elimu sisi ndio tumerithi kwa baba zetu
huu ukondoo sikubaliani nao hata kidogo

Mungu alisema kisasi ni chake Yeye, sasa wewe unataka kukifanya kiwe chako? Fikiria hili, Petro alitaka kumwondoa kichwa mojawapo wa watu waliokuja kumkamata Yesu, akamkosa kichwa na kumkata sikio. Yesu akamkataza Petro na kumwambia alirudishie sikio mahali pake lile sikio. Unafikiri Yesu hapo alionyesha udhaifu?
 
kuchochea udini ni laana kubwa itakayotutafuna hapa duniani na ahera. Ukichochea watu wakauana ambao walizoea kuishi pamoja nakwambia mpaka unaingia kaburini ni jambo litalo kusumbua daily. Msi-generalize waislamu wote,msiite dini nyingine ya mashetani,etc na kama ni kundi dogo ni rahisi kuwaweka chini ya ulinzi endapo watu na jeshi watajipanga. Ujumbe wa kushambulia imani za wengne zinapalilia chuki na hiyo ndiyo mchezo wa shetani
 
kama kuna mtu ana shuttle kuelekea MARS, naomba lift! nasikia harufu mbaya na cjui ni nini kinanuka nchini mwangu! mwenye usafiri please PM mi!

Duh! ...!

Maombi yako yamefika wakati muafaka! Cheki mdude kwenye avatar yangu hapo! Kuwa tayari ... nakupitia! Utasikia mkelele wa nguvu ...uziogope it will be me coming!!
 
Hii hali imeniboa sana.

Hivi tutakaa turudi ile hali yetu ya kupendana tena?
 
masuala ya dini huwa n makubwa sana especialy linapokuja suala la vita...kumbuka its very easy to start a war but very difficult to end it, hivyo n busara hasa ndo inatakiwa kufuatwa hapa, n afadhali ingekua vita kukiondoa chama madarakan naweza shabikia kwa sasa, but vita ya dini " vita takatifu" hurithiwa vizaz na vizaz...

kati ya ote wewe umeongea point.....
 
Wakuu tumepiga kambi hapa kanisani kwetu Kariakoo Lutheran baada ya walinzi wetu kuomba waongezewe nguvu kwa kuwa wanahisi kuna watu wanataka kuchoma moto kanisa hili
sisi kama washarika na wafadhili wakubwa wa kanisa letu tumeamua kupiga kambi kila mtu akiwa tayari kupambana ili kuzuia mali zetu zisiharibiwe na hao waabudu shetani
kiongozi mmoja wa kanisa letu amekuja na kutuonya tusitumie silaha kupambana na hao waabudu nanihii eti akidai Yesu alisema mtu akikupiga shavu la kushoto haraka sana mgeuzie na la kulia
kwa kweli kama hali ndiyo hiyo ya wakristo kuchomewa makanisa yao ambayo wao wenyewe ndio wafadhili na wajenzi itakuwa ni jambo la kushangaza kwa sababu wanaumia wenyewe
naomba kuuliza tangu lini mungu akawa rafiki wa watu dhaifu????kwa nini wakristo tunakaa kimya tusijibu mapigo??tutaonewa mpaka lini silaha na elimu sisi ndio tumerithi kwa baba zetu
huu ukondoo sikubaliani nao hata kidogo

Sasa unamuuliza nani kwanini usimuuze huyo kiongozi wako? Wewe kakuambia baada ya kumwuuliza maswali unakuja kutuuliza sisi, kafiri mkubwa wewe.
 
Hii hali imeniboa sana.

Hivi tutakaa turudi ile hali yetu ya kupendana tena?

Haiwezekani mimi binafsi nimevumilia siku nyingi sana , lakini maneno ya wapmbavu kama hawa yamenifanya sasa niamue liwalo na liwe....
quote_icon.png
By Marire ,waislamu wengi ni wajinga sana! Katika mia ni watatu tu wameelemika shenzi type! "
 
Hivi wakigusa RC huku Bara itakuwaje? Haki ya nani najihurumia mwenyewe!!
 
Back
Top Bottom