Ye Soya
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 237
- 249
na wewe uko tayari kwa iyo?'subiri'
na wewe uko tayari kwa iyo?'subiri'
ulikaa nao ukawaona wakipongezana.,endelea kushabikia kwa sasa uvumilivu unafika tamati,2takufikiakwa hili mimi ninafuraha kubwa sana kwani hawa hawa maaskofu waliipongeza serikali kwa kuwaua waislamu msikitini mwembechai wacha na wao wauliwe tu tena natoa wito kwa wale wanaohitaji mafunzo ya kijeshi wanitafute
Pengo anaona ufahali kuendeshwa kwenye shangingi na kuabudiwa.
Ameshindwa ata kumuita Pinda chemba na kumweleza matamko yake hayaendani na biblia, ukizingatia pindi alishawahi kuwa mseminari.
Tatizo lako ni kutaka Pengo aingilie kati mithili ya shehe fulani hivi!!!! Hujamtendea haki mrithi wa kiti cha Petro. Romero alikuwa katika nchi unayoweza kuiita ya kikatoliki kwani raia karibu wote kule ni wakatoliki. Waliokuwa wakiua mapadre walikuwa ni askari wakatoliki wakiua wakatoliki wenzao. Rais dhalimu na makamu wake aliyekuwa akimlinda Romero walikuwa wakatoliki pia. Siku moja makamu wa rais alimwendea Romero na kumwambia kama utaendelea kuwasakama atamwondolea ulinzi, na ikawa hivyo Romero akauwawa siku chache baadae. Hali ile ni tofauti na Tanzania, na hasa Zanzibar kunakokufanya uje na thread ya kukurupuka. Pengo kazoea starehe gani? Yeye hufika St Joseph saa moja asubuhi na kusali kwenye chapel ya ekaristi hadi saa 3. Baada ya hapo hupokea wageni na kusikiliza wenye shida hadi saa 7. Huenda kula mlo mwepesi kabisa pale floor ya kwanza na kisha hurejea ghorofa ya pili kufanya kazi bila bhuguza. Hujiondokea jioni akiendeshwa ama na sista au katibu wake ndani ya Rav4 ya blue very cheap. Unasema anapenda heshima gani tena? Ni majuzi tu Nape na Kinana walipanga foleni kwenye benchi pale St. Joseph kuonana nae na mambo yaliyoongelewa ni hayahaya ya amani ya nchi. Pengo hawezi kusimama na kusema 'lipizeni kisasi!' kamwe hili halitatokea na akisema hivyo Vatican itamkana. Hebu bandika hapa kauli unayotaka Pengo aseme na oune kama hajawahi kuisema. Mbona hujitokezi hadharani kuyasema haya? Unadiriki kumwita Pengo dhaifu eeh; wewe jasiri unakaa kupost kisirisiri humu JF! Au na wewe umekengeuka ukitaka prince of the church aropoke ili naye auwawe? I smell satan @ work.........
watu wanaofikiri vizuri tu ndio wanaweza kuelewa alichosema Mzee Mwanakijiji nahisi mkuu umekuja wrong forum

Hapa ndio huwa nauona umuhimu wa Askofu Kilaini. Hajui kuvungavunga yule.
Kwani kuna padri ameuawa na utawala dhalimu Tanzania?
Ndio ameuawa na utwala wa kidhalimu Tanzania,kwani wadhalimu wanapo uwa na utawala upo hachukui hatua zozote za kudhibiti mauaji hayo basi utawala nao unakuwa umehusika katika mauaji hayo.
Huo ushauri haufai hata kidogo ni sawa na kumwaga petroli kwenye moto. Silaha ya mkristo ni sala kisasi kingine mungu ndo anajua
Naona umelewa gahawa na pilau la hitmaWalipofuatwa Waislamu msikitini na kuwawaa pale Mwembechai, Mtukufu Pengo alitoa tamko kuwa wale waliuwawaa ni wahuni, hakujua anachokipanda na PHD zake za Theolojia
Leo mmeanza kuona kumbe Waumini wenu wakiuwawa inaumaaa eenh ? Mkuki kwa Noah.....
hili la pili ndio limenifanya hii kuwa post yangu ya mwisho kukujibu you are too lowWewe uliyeelewa tusaidie na sisi tuelewe.
ni rahisi sana kuwachonganisha watu weusi kwa kuwa huwa hawapati muda wa kutafakari kwa kina nani chanzo cha mogoro wao....haya na nyinyi lipizeni kisasi kwa kuwaua masheikh , kisha NATO waje kuweka kambi mtwara kulinda amani yenu!...unafikiri wataweka kambi wapi?