Mwadhama Pengo kwanini kama huna la kusema usikae kimya?

Mbase1970

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
6,053
4,596
When the church hears the cry of the oppressed it cannot but denounce the social structures that give rise to and perpetuate the misery from which the cry arises. Arch Bishop Oscar Romero

quote-when-the-church-hears-the-cry-of-the-oppressed-it-cannot-but-denounce-the-social-structures-oscar-romero-60-73-98.jpg

Nimemsikiliza sana Karidinali Pengo akiusema ule waraka wa maaskofu wenzake. Katika maelezo yake ameomba watumishi wa Mungu wasichanganye siasa na dini, Niliudikiliza ule waraka na sijajua mahali gani anaposema kama wale maaskofu wanaingilia mambo ya siasa.

Oscar Romero, aliteuliwa kuwa askofu wa Son Salvador wakati mgumu sana, wakati watu walikua wanapotea hovyo, watu wanateswa na kuuawa na serikali yao. Yeye kama kiongozi na mchungaji ilimbidi awe sauti ya watu wa Salvador maana walikua hawana wa kuwaseme. Wengi waliogopa kuongea kwa kuhofia nini kitawatokea wakiwa wasemaje sana. Romero alikua na wito wa upadre na siyo wa siasa kama Pengo anavyotaka kutuaminisha. Kwa msimamo wake huo wa kuwasema na kewakemea waliokua madarakani ndiko kulikofupisha maisha yake.

Juzi Jumamosi ilikua siku ya kumbukumbu ya Askofu Oscar Romero Mwenye Heri, kuitwa mwenyeheri kwa kanisa katoliki ni daraja moja kabla ya kuwa Mtakatifu. Askofu Romero (R.I.P) alikua Askofu wa nne kwa cheo kama cha Pengo yaani Arch Bishop wa San Salvador tangu Mwaka 1977 mpaka umauti ulipomfika mwaka 1980 March 24. Mwaka 1979 Jeshi liliojiita Revolutionary Government Junta lilichukua madaraka huko Salvador na kuelekea katika vita ya wenyewe kwa wenyewe kulikosababisha kumonyonyoka kwa haki za binadamu na umwagaji wa damu. Mwaka 1977 padre Grande aliyekuwa wa jumuiya ya Jesuit na rafiki wa Romero aliyetengeneza kundi lililojulikana kama "Self-relience groups among the poor," aliuawa na wanajeshi. Kifo cha huyu Padre kilimpatia hamasa kubwa Askofu Romero ambaye alikua rafiki yake mkubwa. Romero alisema " Nilipoangalia Padre Rutilo kalala pale maiti, nilijifikiria mwenyewe kama wameamua kumuua huyu kwa haya mazuri aliyoyafanya, hivyo inanibidi kufuata njia yake" Hivyo Askofu Romero aliwaomba serikali wachunguze kifo cha huyu Padre. Hawakumsikiliza na vyombo vya habari havikuandika chochote maana vilikua vinaogopa.

Serikali iliamua kuzifungia shule za katoliki kwasababu mapadre hawakutaka ushirikiano na serikali ya kikandamizi, kwa kukaa kimya kuhusu kifo cha padre mwenzao. Askofu Romero alianza kazi kama "actvist" akizungumzia masuala mengi yahusuyo haki za binadamu, kuuawa kwa watu hovyo na kuteswa. Romero pia aliwalaumu Marekani kwa kuwapatia silaha Jeshi la Salvador ililozitumia kuwaua raia wake. Na pia aliandika barua kwa rais Carter na kumuonya kuwa kuwapatia silaha serikali ya Salvador na Jeshi lake kutaongeza ukosefu wa haki za binadamu na kuleta mchafuko mkubwa wa kukosa haki za msingi za mwandamu. Hiyo barua ilipuuzwa na Carter aliendelea kuipa misaada ya kijeshi serikali dhalimu ya Salvador. Kwaajili ya mambo aliyokua anayakemea Askofu Romero alianza kujulikana Kimataifa. Mwaka 1980 alipotembelea Ulaya alionana na Pope John Paul II na alimweleza wasiwasi wake kwa kilichokua kinaendelea Nchini kwake kwamba ilikua tatizo kubwa sana kui support serikali ya Salvador kwasababu kwa kufanya hivyo kulikua kunahalalisha Mauaji na mateso yanayofanywa na serikali kwa raia zake.

Askofu alianza kutumia radio katika mahubiri yake ili yawafikie wengi, katika hayo mahubiri alikua anaweka bayana kuhusu kupotea kwa watu, kuuwawa kwa watu na kupokwa kwa haki za binadamu. Haya mahubiri ya radio yaliwafikia wananchi wengi zaidi waliokuwa wakatoliki na wasiokua wakatoliki kila Jumampili. Jumatatu yake alihutubia kwa saa nzima kuhusu mateso, mauaji na kupotea kwa watu. Mpaka radio ilipopigwa bomu. Hakuishia hapo katika gazeti la kanisa kama lilivyo KIONGOZI gazeti la kina PENGO alikua anaweka majina ya watu waliopotea ama kuuawa.

March 24 1980, waliokuwa madarakani walichoka na kelele kwa upande wao lakini kwa Askofu Oscar Romero lilikua karipio la kuwaomba waache kuwanyanyasa raia wao, na waliwatuma maaskari wenye umahiri wa kulenga shabaha, Alipigwa risasi akiwa Altareni akisoma misa. Na inasemekana damu yake ilijaa madhabahuni na kukimbizwa Hospitalini ambako alithibitishwa amekufa. Huu ni mfano tu kuonyesha Pengo anatupotosha anapotofautisha kati ya kuikemea serikali na mambo ya Siasa. Ninaomba nieleweke kuwa ninayoyazungumzia kuhusu Salvador hayana mahusiano yeyote na mambo yanayoendelea hapa Tanzania na kama tumefikia huko, lengo langu ni kumkosoa Askofu Pengo.

Oscar Romero, aliteuliwa kama askofu wakati mgumu sana wakati watu walikua wanapotea hovyo, watu wanateswa na kuuawa na serikali yao. Yeye kama kiongozi na mchungaji ilimbidi awe sauti yao watu wa salvador maana walikua hawana wa kuwasemea wengi waliogopa kuongea kwa kuhofia nini kitawatokea wakiwa wasemaje sana. Romero alikua na wito wa upadre na siyo ya siasa kama Pengo anavyotaka kutuaminisha. Kwa msimamo wake huo wa kuwasema na kewakemea waliokua madarakani ndiko kulikofupisha maisha yake. Pia tunasoma katika maandiko matatifu kuhusu Yohana Mbatizaji, alichinjwa na Mfalme wa wakati wake kwa kumkemea kuacha mambo ambayo hayampendezi mwenyezi Mungu.

Kwa wale wenye kuelewa lugha ya Malkia chini ni Baadhi ya Quotes zake kabla ya kuuawa na kuwa Shahidi.

A church that doesn't provoke any crises, a gospel that doesn't unsettle, a word of God that doesn't get under anyone’s skin, a word of God that doesn't touch the real sin of the society in which it is being proclaimed — what gospel is that? Oscar Romero

The ones who have a voice must speak for those who are voiceless. .. Oscar Romero

When the church hears the cry of the oppressed it cannot but denounce the social structures that give rise to and perpetuate the misery from which the cry arises.

Mudhama Pengo h
aya maneno ni ya Mwenyeheri Askofu Oscar Romero, angekua Tanzania ungemkemea kama aache siasa?????
 
Mpigania demokrasia unataka Pengo akae kimya kwa sababu tu ana mawazo tofauti na yako? Unafiki.
 
Mtu ukila maharage ukivimbiwa unajamba bila kujijua
 
Na baada ya mauwaji ya Askofu Romero Salvador ilipitia kipindi cha mabadiliko makubwa sana kijamii na kisiasa.hawa maaskofu kama Pengo ndani ya Kanisa ni mizigo,yupo pale kwa sababu ameteuliwa na Pope but ingekuwa anawekwa kwa kura za maaskofu wenzake ambao vichwani wapo vizuri saaizi angekuwa anazunguka na huyo mwenzake mkuu wa malaika kupiga siasa.

Hope mwaka kesho atapangiwa kazi nyengine na boss wake mpya ya kufanya ili kutimiza ndoto yake yakuwa mwanasiasa.
 
Mpinge kwa hoja,kwa nini unamshambulia binafsi badala ya kujibu hoja yake?
Yeye mwenyewe Pengo anakiri kuwa waraka wa maaskofu wenzie sio mbaya, bali hakubaliani na serikali kunyooshewa vidole!!. Angelikuwa muungwana naye angelilijibu waraka huo kwa hoja zao badala ya kuwafanya wenzie hamnazo!! .

Ukweli ni kuwa, Pengo yuko pale kuwasambaratisha wenzie kwa lolote!!. Haiwezekani kuwa kila wakati, yeye husubiri wenzie watoe maazimio yao, halafu nyuma yeye kuwafanya PhD holders hamnazo ref. Mapenfekezo ya katiba mpya.
 
Kimsingi mada hii ina uhusiano na kinachotokea Tanzania kwa sasa ingawa mtoa mada unajaribu kukanusha. Ukweli uko wazi.
Napenda sana kusoma habari za Askofu Romero.
 
Mkuu hatujafikia huko. Sababu iliyonifanya niandike hii mada ni kumjibu pengo kuwa kuna mapadre na watawa wengi wamepoteza maisha yao kwa kutetea wanyonge. Mtakatifu Mother Theresa alikua anasema kila mara watu walioitikia wito na kumfuata Yesu wanatakiwa wawasaidie wasiojiweza kwa maana maskini na wale wasiyokua na msaidizi. Mitume wengi walipoteza maisha yao kwa kutetea haki. Kama hakuna usawa hakuna amani.

Mange anaweza kuwa mwehu ama chizi lakini hiyo haimnyimi haki ya kuandaa maandamano. Na kama viongozi wataendelea na msimamo kama huu wa kuwafanya raia kuwa waoga basi taifa litaingia kusiko.

Ila bado nina imani Tanzania haijafikia huko kama Salvador.

Romero hata mimi hua namfuatilia sana mkuu. Kuna uwezekano wa kutangazwa na papa francis mwezi oktoba kama mtakatifu.
 
Back
Top Bottom