Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

Mie nadhani Paka akisumbuliwa sana ugeuka chui...Msimlishe Pengo sumu ambayo chanzo cha yote anakijua kua ipo siku watu watadai Haki zao kwa njia tofauti....BTW rest in peace Fr mushi
 
ZeMarcopolo vipi hapo Chadema wanawezakuhusika na tukio hilo, na vipi wake zenu CUF nao. Ninachoogopa mimi serikali ya Magamba itasema polisi bado wanafanya uchunguzi na kesi itaishia juu juu tu. Hakuna hatua zozote zitakazochukuliwa

Mkuu, hili swala tusilifanyie mzaha. Utani wetu wa kisiasa tuuendele kwenye ile thread ya elimu ya Mnyika. Hili la kumuua father ni jambo linaloweka amani ya nchi yetu njia panda, tulipe uzito wake unaostahili.
 
kwa hili mimi ninafuraha kubwa sana kwani hawa hawa maaskofu waliipongeza serikali kwa kuwaua waislamu msikitini mwembechai wacha na wao wauliwe tu tena natoa wito kwa wale wanaohitaji mafunzo ya kijeshi wanitafute
 
tukiondoa serikali dhaifu na dhalimu. Tukaendesha nchi kwa law and order ya kweli. Hakutakuwa na vurugu za kidini kama huko awali. Jiunge nasi tufanye mapinduzi ya kweli yatakayoleta tija na amani ya kweli kwa watanzania wa imani zote.

Malengo hayo ni mazuri, lakini wasiwasi uko kwenye njia ya kufikia malengo...
 
kwa hili mimi ninafuraha kubwa sana kwani hawa hawa maaskofu waliipongeza serikali kwa kuwaua waislamu msikitini mwembechai wacha na wao wauliwe tu tena natoa wito kwa wale wanaohitaji mafunzo ya kijeshi wanitafute

Haya ni mafundisho ya dini au hisia zako binafsi?
 
kwa hili mimi ninafuraha kubwa sana kwani hawa hawa maaskofu waliipongeza serikali kwa kuwaua waislamu msikitini mwembechai wacha na wao wauliwe tu tena natoa wito kwa wale wanaohitaji mafunzo ya kijeshi wanitafute
usije ukadhani kuwa kwa kuwa uko nyuma ya keyboard ukiandika huu upuuzi huwezi kupatikana...ni rahisi mno kunaswa...we endelea tu kushabikia upuuzi!
 
Dhambi hii ni kubwa sanaaaa kwa wahubili udini, ukanda, ukabila na chuki yan watawala wa sasaa... pengo yupo stong sana kama umemsikia kwenye mazishi yale moshi aliongea vyema sanaaa, tatizo mfumo uliopo wa kutuongoza kama nchi ni shida kubwa sanaaaaaa

Kwanza pakuanzia piga marufu mikutano yote ya dini nje ya eneo la ibada/ swalah tu. kama mkapa alivyofanya

Pili kuzuia mikanda michafu ya kutukanana juu ya udini na udini

Tatu kupiga marufuku shule yeyote inayofundisha udini laiti ikiwa na wanafunzi wa dini mbalimbali wakisoma pale

Nne ni kugawa nchi katika majimbo as CHEDEMA did ilimtanzania yeyote asilalamike kwa njaa, shida, afya na elimu..... ( udini utafutika)

Mwisho ni kufuta zanzibar nakuita mkoa wa unguja na pemba ndani ya tanzania au kuachana na uzanzibar na kuunda tena taifa la tanganyiaka

Pengo hongera kwa unayoyafanya, najua serekari ukopa/upewa pesa nyingi sana katika bajeti yake kutoka TEC dawa ni kuwanyima tuuuuuuuu
 
Hizi kauli zako na Mwanakijiji ndio zinataka kuchochea vurugu zaidi. Fahamuni tu kuwa kwenye vurugu za kidini hata siku moja hakuna mshindi.
kwa hiyo unataka kusema waislam wabaki washindi kwa kuwaua viongozi wa kikristu.???
 
Mheshimiwa mwanakijiji huu unaohubiri ni uchochezi sasa...kwani maandiko ambayo wakristo tunaamini ni kuwa "akupigae shavu la kulia mgeuzie na la kushoto" unadhani wa kristo wasingekuwa na uvumilivu wa kidini tanzania ingekuwa wapi leo hii...

Fikiri mara mbili kabla ya ku post...hakuna vita mbaya kama vita ya udini
 
Nafikiri wakati wa kuifufua Liberation Theology iliyoasisiwa Latin Amerika na kuzikwa Vatican imefika...Pengo yupo kimya sana,siwezi kuamini kuwa huu ndo weledi na msimamo wa Kanisa...He has to say something strong!watavamia masista na kuwabaka labda ndo watatoa tamko!Walatin wanasema "VERBUM SAT SAPIENT= A WORD IS ENOUGH FOR A WISE MAN".....Pengo kama His Emminence aseme kitu,aongee..akemee...asiendekeze urafiki na wanasiasa!awe mkali...achukue jukumu la kibaba,tena ubaba wa kiroho!
 
kwa hiyo unataka kusema waislam wabaki washindi kwa kuwaua viongozi wa kikristu.???

Mwislamu au mtu mwingine yeyote akimuuua mtanzania mwenzake kwa kisingizio cha dini au sababu nyingine hawi mshindi na LAZIMA asakwe na kupata adhabu wanayostahili kupewa wauaji.
 
Ni kweli kabisa wandugu kwani tulipofika ni pabaya hasa upande wa pili utakapoamua kujibu mapigo pale wanapoona viongozi wao wa kiimani wakikaa kimya matokeo yake itakuwa liwalo na liwe .tusiombe ifike huko
Mkuu acha tufike haiwezekan watu wanaua viongoz wa dini sis tunawachukulia poa..liwalo na liwe tumeshawachoka pumbav zao
 
Ningefurahi Kama kardinali wa Tanzania awe askofu mkuu yuda thadei rwaichi
 
kwa hili mimi ninafuraha kubwa sana kwani hawa hawa maaskofu waliipongeza serikali kwa kuwaua waislamu msikitini mwembechai wacha na wao wauliwe tu tena natoa wito kwa wale wanaohitaji mafunzo ya kijeshi wanitafute
nadhani akiuwawa mama yako,mkeo na wanao ndio utafurahi zaidi.!!
 
Alikuwepo Askofu Mkuu Oscar Romero; alisimama dhidi ya utawala wa kidikteta na akatoa ujumbe wa kinabii (prophetic message). Alifanya hivyo baada ya mapadre wake kuuawa na utawala dhalimu. Pengo amezoea kukaa katika starehe mno, kula na kunywa na wakubwa na ameacha kusimama kama nabii. Anapenda heshima. Wakati umefika kwa Pengo kuonesha kuwa anastahili cheo alichonacho.

Tunahitaji Oscar Romero wetu... vinginevyo huku tunakokwenda kubaya. Oooh ninavyoogopa kusikia Shehe kauawa; Msidhani haiwezi kutokea au kwamba hawa Wakristu ambao ndani ya wiki moja viongozi wao wawili wameuawa nao wataendelea kukaa kimya..

Pengo... utafanya nini....

Tatizo lako ni kutaka Pengo aingilie kati mithili ya shehe fulani hivi!!!! Hujamtendea haki mrithi wa kiti cha Petro. Romero alikuwa katika nchi unayoweza kuiita ya kikatoliki kwani raia karibu wote kule ni wakatoliki. Waliokuwa wakiua mapadre walikuwa ni askari wakatoliki wakiua wakatoliki wenzao. Rais dhalimu na makamu wake aliyekuwa akimlinda Romero walikuwa wakatoliki pia. Siku moja makamu wa rais alimwendea Romero na kumwambia kama utaendelea kuwasakama atamwondolea ulinzi, na ikawa hivyo Romero akauwawa siku chache baadae. Hali ile ni tofauti na Tanzania, na hasa Zanzibar kunakokufanya uje na thread ya kukurupuka. Pengo kazoea starehe gani? Yeye hufika St Joseph saa moja asubuhi na kusali kwenye chapel ya ekaristi hadi saa 3. Baada ya hapo hupokea wageni na kusikiliza wenye shida hadi saa 7. Huenda kula mlo mwepesi kabisa pale floor ya kwanza na kisha hurejea ghorofa ya pili kufanya kazi bila bhuguza. Hujiondokea jioni akiendeshwa ama na sista au katibu wake ndani ya Rav4 ya blue very cheap. Unasema anapenda heshima gani tena? Ni majuzi tu Nape na Kinana walipanga foleni kwenye benchi pale St. Joseph kuonana nae na mambo yaliyoongelewa ni hayahaya ya amani ya nchi. Pengo hawezi kusimama na kusema 'lipizeni kisasi!' kamwe hili halitatokea na akisema hivyo Vatican itamkana. Hebu bandika hapa kauli unayotaka Pengo aseme na oune kama hajawahi kuisema. Mbona hujitokezi hadharani kuyasema haya? Unadiriki kumwita Pengo dhaifu eeh; wewe jasiri unakaa kupost kisirisiri humu JF! Au na wewe umekengeuka ukitaka prince of the church aropoke ili naye auwawe? I smell satan @ work.........
 
kumbe huyu mwanakijiji nae ni bure kabisa kama mitoto mingine ya CHADEMA. Nani kakuambia Mushi kauawa na serikali au sababu za kidini? Pengine ni ugoni au wamedhulumiana kwenye ujambazi unajuaje? Acha kupotosha umma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom