Karantini na changamoto zake

Karantini na changamoto zake

Ndio maana papa mopao hataki habari za lockdown 😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenza vipi tena? Mume wetu kachafua hali ya hewa?
 
Nawasalimu wooote wote kwa jina la yeye mwenye mamlaka mbinguni na duniani,...baada ya salam hiyo naomba nicheke kidogo japo kwa majonzi😃😢😃😢😢😂😂😤corona imebadili baadhi ya mifumo yetu ya kimaisha na sijui mwisho wa janga hili la kidunia ni lini maana watu wanayoyafanya mmmhh....MUNGU aturehemu tuu kwakweli😔😔😓

Leo kuna changamoto niliyoguswa nayo na hii ni hasa kwa wanandoa na wale sogea tukae😩,.sio siri kukaa "karantini" hasa ya nyumbani sio mchezo kwa wale wenye hii changamoto,.kuna baadhi ya wanandoa au wale sogea tukae wanaweza kuelewa....MATUMIZI NA USAFI WA MALIWATO/MSALANI hivi unawezaje kumvumilia mtu mume au mke ambae akiiingia hilo eneo lazima aache udambwidambwi hawezi kuacha eneo hilo kama alivyolikuta likiwa safi,??hii nimesikia ni kwa WANAUME sanasana hawajali haya masuala ya usafi wa haya maeneo kabisaaa,lol,.sasa wakati huu wa kujifungia ni balaa watu wananuna jomonii mpaka basii...Em' wababa jitahidini kutunza yale maeneo wengine mnatumia "self contained" lakini unakuta MALIWATO haivutii kabisaa na mama/mke asipokuwepo uuwwiii unaweza hisi ni chumba kidogo cha mizimu😧


Hivi huwa mnawaambiaga au mnamezea tuu mnaingia kuclean wenyewe maisha mengine yaendelee???maana wote tunajua UMIHIMU wa lile eneo na raha yake😉hasa likiwa safi na kavu.

Muwe na karantini njema,tuendelee kujilinda na kuwalinda wengine,.

~MC~
acha ureee wewe ichondi
 
Muwe na karantini njema,tuendelee kujilinda na kuwalinda wengine,.


Me nimechukua zangu hicho tu😁😁
 
Source please
Nawasalimu wooote wote kwa jina la yeye mwenye mamlaka mbinguni na duniani,...baada ya salam hiyo naomba nicheke kidogo japo kwa majonzi[emoji2][emoji22][emoji2][emoji22][emoji22][emoji23][emoji23][emoji36]corona imebadili baadhi ya mifumo yetu ya kimaisha na sijui mwisho wa janga hili la kidunia ni lini maana watu wanayoyafanya mmmhh....MUNGU aturehemu tuu kwakweli[emoji17][emoji17][emoji29]

Leo kuna changamoto niliyoguswa nayo na hii ni hasa kwa wanandoa na wale sogea tukae[emoji30],.sio siri kukaa "karantini" hasa ya nyumbani sio mchezo kwa wale wenye hii changamoto,.kuna baadhi ya wanandoa au wale sogea tukae wanaweza kuelewa....MATUMIZI NA USAFI WA MALIWATO/MSALANI hivi unawezaje kumvumilia mtu mume au mke ambae akiiingia hilo eneo lazima aache udambwidambwi hawezi kuacha eneo hilo kama alivyolikuta likiwa safi,??hii nimesikia ni kwa WANAUME sanasana hawajali haya masuala ya usafi wa haya maeneo kabisaaa,lol,.sasa wakati huu wa kujifungia ni balaa watu wananuna jomonii mpaka basii...Em' wababa jitahidini kutunza yale maeneo wengine mnatumia "self contained" lakini unakuta MALIWATO haivutii kabisaa na mama/mke asipokuwepo uuwwiii unaweza hisi ni chumba kidogo cha mizimu[emoji47]


Hivi huwa mnawaambiaga au mnamezea tuu mnaingia kuclean wenyewe maisha mengine yaendelee???maana wote tunajua UMIHIMU wa lile eneo na raha yake[emoji6]hasa likiwa safi na kavu.

Muwe na karantini njema,tuendelee kujilinda na kuwalinda wengine,.

~MC~

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom