Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Habari za wikendi ndg wanajf. Ninawaomba msaada wanasayansi mliopo humu pamoja na wale wenye subjective experince juu ya karanga hasa mbichi na suala la mapenzi. Je ni kweli kwamba karanga inaongeza hamu au ni dhana tu. Maana huku mitaani kuna mitazamo kwamba mwanaume akinunua karanga basi ujue ana mechi, kwa kiasi fulani soko limeathirika kutokana na hili. Naombeni mnielimishi.
GZ
GZ