GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama hawa siyo ndugu wa mapacha, basi pengine mmoja ni 'clone' wa mwenzake!
Watu wamejaa 'pomposity' ya ajabu sana hawa; utadhani walizaliwa kwenye sayari yao pekee na kushushwa hapa kwa bahati mbaya!

Hata mjione tofauti vipi, safari hii CCM hawaponi.
Kama mnazo hisa zenu huko ndani ya CCM ni bora mziuze sasa hivi vinginevyo mtatoka mikono mitupu.

Hovyo kabisa.

Najuwa wote wawili hawanisomi, kwa sababu walisha nikimbia.
Wafikishieni ujumbe wao kwamba mapambano safari hii ni ya moto, na pengine wanajuwa hivyo ndiyo sababu ya michecheto yote hii inayowaleta hapa.

Iwe ni jeshi au wananchi, CCM na hasahasa Samia na Genge lake ni lazima wakipate cha moto.
 
Watu wanashabikia tu..alikuwepo JPM..watu walilia..kijeshi sijui wataliaje
Sasa nyinyi kwa utatu wenu mnataka watu waweje? Sasa hivi waTanzania hawalii chini ya hawa waovu?

Na kwa nini mlione jeshi kuwa baya kuliko takataka hizi zilizopo madarakani sasa?
Kuna kitu gani kinacho wafanya muone waTanzania hawawezi kufanya chochote bila ya CCM. Tuelezeni, mnataka nani awepo ndio waTanzania wasilie?
Watu wanashabikia tu..alikuwepo JPM..watu walilia..kijeshi sijui wataliaje
 
Kapteni anasema analiomba jeshi lichukue hatua kukomboa nchi! 😂


Sasa sijui analiomba jeshi gani wakati yeye ndiye Kapteni..?! 😂😂

Upuuzi mtupu!
Na wewe ni mpuuzi tu, kama ungemsikiliza vizuri usingetoa comment hii. Kifupi alikuwa anamu address CDF.
 
Chawa kalisha tako endelea kujipendekeza
 
"Kapteni Tesha" alisema atarudi tena. Sijui kwa mazingira ya KIJESHI alikuwa anamaanisha nini!
Aende wapi?
huyo kaamua tu apotee./apotezwe.
Kuna kanal mstaafu huko kote alikopita anapajua.
Ingawa sipigi kura wala sitoki tar zote
 
Mkuu na wewe unatumia VPN? Unajua kutumia VPN ni kumkataa mwenyekiti wako?
 
Endelea kuamini ivo ivo mkuu
Ila soon utawajua watanganyika vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…