JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,865
- 8,714
....
Samia hakulimdwa na Jeshi, katiba ilitqka Nchi apewe makamu wa Rais, kusingefantika hivyo Jeshi au mtu yeyote angekuwa amevunja katiba.Nimeeleza hapo juu kwa kirefu. Ni utawala wa mpito wa kiraia wa Technocrats, wataalamu, wabobevu, wazalendo wakiongozwa na mtu kama Warioba kwa muda mfupi kuweka mambo sawa.
Nyuma yake jeshi jeshi lipo kuhakikisha wahuni, mafisadi, majambazi hawajuhumu mchakato wa kujenga nchi mpya yenye usawa, haki, uwajibikaji.
Unafikiri Samia angekuwa Rais kama sio kukingiwa kifua na Mabeyo, jeshi kuwa nyuma yake.
Nazungumzia kwa sasa jeshi lisimame nyuma kuwalinda wazalendo, haki, rasilimali za taifa, mchakato wa kujenga nchi inayojali kila Mtanzania badala ya kumlinda Samia na genge lake.
Katiba ilitaka Makamu achukue Urais baada ya JPM, lakini wengi wenye nguvu, wanaomjua waliona hatoshi, ndipo Mabeyo alipojitokeza na kusimamia na katiba na Samia. CDF angeamua, angekuwa corrupted, compromised kama huyu wa sasa angekubali figisu ifanyike.Samia hakulimdwa na Jeshi, katiba ilitqka Nchi apewe makamu wa Rais, kusingefantika hivyo Jeshi au mtu yeyote angekuwa amevunja katiba.
Sasa rutudi kwenye hoja, jeshi likichukua nchi maana yake limepindua utawala wa kiraia na maana yake wao ndio waogoze. Uzoefu niliokupa hapo juu unaonesha Jeshi likipindua alitepindua ndito hurndeea kuwa Rais kwa kipindi kirefu cha zaidi ya miaka hata 10, 20 na pengine hadi kufa kwake au na yeye kupinduliwa.
Kwa vyovyote vile, hii ya jeshi kama wewe ni mwanademokrasia sio recourse sahihi... na utawala wa kijeshi ke mtauweza watanzania? Kama Magufuli tu watu walianza kumuita Mhe. mungu???
Ninakumbuka alivowatishia watu kwa kuingiza jeshi barabarani lifanye usafi kisa maandamano??
Kuna watu hawategemei siasa kuishi, il nyie waumini wa demokrasia na uhuru wa kujieleza, jeshi likishachukua tu Nchi mtaanza kutoroka mmoja baada ya mwingine; unafhani Jeshi litavumilia tale maneno makali ya TAL? Heche? unadhani Jeshi litaacha kanisa liongee ongee? (Refer Rwanda), unadhani jeshi litaacha kula Rushwa? Saizi tu yenyewe huko majeshini shida ni nyingi tu... sijui unawqzaje Mkuu...
Wenye nguvu walitakiwa wakatae Sami kuwa Makamu wa Rais.. kumtoa kipindi hicho was a grave mistake kwa Nchi. Na hii kwa maelezo yako tatizo kwao ni Samia. Hauoni kuwa walikuwa wamejipanga lakini ikashundikana na hapa wananchi wanataka kutumiwa kama toilet paper tu? Kwani kiuhalisia Samia kafanya kipi kibaya kipya ambacho hakijawahi kufanyika huko nyuma?Katiba ilitaka Makamu achukue Urais baada ya JPM, lakini wengi wenye nguvu, wanaomjua waliona hatoshi, ndipo Mabeyo alipojitokeza na kusimamia na katiba na Samia. CDF angeamua, angekuwa corrupted, compromised kama huyu wa sasa angekubali figisu ifanyike.
Uhuru huo ulifungwa toka kipindi cha Magufuli; kipindi cha samia alijitahidi kutoa suluhisho fulani ( na alituambia hao wakubwa hawakuoendezwa na yeye kuwapa nafasi wapinzani ikiwemo kufungua mikutano ya kisiasa na kuwarudisha home na akasema adui yke ni wa ndani) . Ukijiuliza kina polepole walinyimwa uhuru upi? Bado issue iko paple tqtizo lao hawamtaki Samia na sio CCM. Hata leo akibadilika akawa Majaliwa huwezi kutona haya. Hii ni vita ya madaraka kwa maoni yangu. Na hata wakichukua Nchi utaratibu utakuwa ni ule ule. Ukijifunza unaina ni matakwa ya serikali kusiwe na upinzani Nchi hii na wala sio Samia au Magufuli...maana yake hata akiingia mnayemtaka ataendelea kuzuia upinzani. Na hawatampa mpinzani kwa sasa come sun come rain. (Ukweli mchungu sana) watu wataandamana watavunjwa miguu na hata kama wakibadili watabadilisha chupa tu mvinyo uleule.Ni mara ya tatu, nne nakwambia hivi mifumo yote, njia zote nyingine za kidemokrasia za kupata haki, mbadala zimefungwa. Uhuru wa kutoa maoni, uhuru kufanya shughuli za siasa ukiwa mpinzani wa kweli zimezibwa. Polisi, Usalama, magereza, mahakama, bunge vipo kwa ajili ya Samia na genge lake, kuwakandamiza wananchi hata usipokuwa na kosa lolote, bali una maoni tofauti unashughulikiwa. Mifano ni mingi, Ndugai, Polepole, Gwajima, mpina, Lissu, Kibao, Mdude, Soka. Chaula, JF nk.
Hii ni subjective thinking; tunakuwa bitter bila kuffiiiri sanaKazi ya jeshi ni ipi endapo adui hatari zaidi anayeweza na anayeangamiza Taifa anatokea ndani ya nchi. Wakati ambapo mifumo mingine yote haifanyi kazi zake.
Jeshi linaapa kwa Nchi lakini pia utii kwa Rais kama Amiri Jeshi Mkuu; na kuapa kwa Rais pia maana yake ni kuapa kwa wananchi (politicaly) .. kumtoa Rais aliyepo madarakni kikatiba ni mapinduzi ambayo huleta utwala wa kijeshi sio kiraia tena.Ni kuwa neutral, kukaa pembeni, kumlinda adui, kisa anatokea ndani ya nchi?Au ni kujitokeza na kulinda katiba, maslahi ya nchi, maisha ya wananchi na kutengeza mifumo ya haki?
Hao wengi wasiomtaka Samia ni kina nani? Hao wengi tuliona wakimpitisha Samia kwa kura zote agombee (wangekataa siku ile) .. sema watu wazito fulani hawamtaki Samia.. ukisema wengi unakosea sana... na wewe aidha ni mzito fulani au unafuata mkenge fulani...Demokrasia ni matakwa na wengi, wengi hawamtaki Samia ili hakuna njia ya kidemokrasia ya kumtoa. Tunafanyaje, jeshi linafanyaje?
Kama una macho, una fikra huru, haupo ndani ya genge, una akili timamu, unapambana kupata kipato, kuingia JF, hutakiwi kuambiwa nchi ilipofikia.Wenye nguvu walitakiwa wakatae Sami kuwa Makamu wa Rais.. kumtoa kipindi hicho was a grave mistake kwa Nchi. Na hii kwa maelezo yako tatizo kwao ni Samia. Hauoni kuwa walikuwa wamejipanga lakini ikashundikana na hapa wananchi wanataka kutumiwa kama toilet paper tu? Kwani kiuhalisia Samia kafanya kipi kibaya kipya ambacho hakijawahi kufanyika huko nyuma?
Uhuru huo ulifungwa toka kipindi cha Magufuli; kipindi cha samia alijitahidi kutoa suluhisho fulani ( na alituambia hao wakubwa hawakuoendezwa na yeye kuwapa nafasi wapinzani ikiwemo kufungua mikutano ya kisiasa na kuwarudisha home na akasema adui yke ni wa ndani) . Ukijiuliza kina polepole walinyimwa uhuru upi? Bado issue iko paple tqtizo lao hawamtaki Samia na sio CCM. Hata leo akibadilika akawa Majaliwa huwezi kutona haya. Hii ni vita ya madaraka kwa maoni yangu. Na hata wakichukua Nchi utaratibu utakuwa ni ule ule. Ukijifunza unaina ni matakwa ya serikali kusiwe na upinzani Nchi hii na wala sio Samia au Magufuli...maana yake hata akiingia mnayemtaka ataendelea kuzuia upinzani. Na hawatampa mpinzani kwa sasa come sun come rain. (Ukweli mchungu sana) watu wataandamana watavunjwa miguu na hata kama wakibadili watabadilisha chupa tu mvinyo uleule.
Hii ni subjective thinking; tunakuwa bitter bila kuffiiiri sana
Jeshi linaapa kwa Nchi lakini pia utii kwa Rais kama Amiri Jeshi Mkuu; na kuapa kwa Rais pia maana yake ni kuapa kwa wananchi (politicaly) .. kumtoa Rais aliyepo madarakni kikatiba ni mapinduzi ambayo huleta utwala wa kijeshi sio kiraia tena.
Hao wengi wasiomtaka Samia ni kina nani? Hao wengi tuliona wakimpitisha Samia kwa kura zote agombee (wangekataa siku ile) .. sema watu wazito fulani hawamtaki Samia.. ukisema wengi unakosea sana... na wewe aidha ni mzito fulani au unafuata mkenge fulani...
Mkuu hoja haipigwi Rungu;Smart Dude, jaribu kuwa smart, usijitoe ufahamu dude. Ngoja nikupe mfano kuhusu jeshi na Wananchi unaweza kuelewa.
Tuseme wewe una ulinzi mkali kuzunguka nyumba yako. Una CCTV, mbwa, walinzi kibao. Ila ndani ya nyumba yako watu uliowaajili, houseboy anakuibia kila siku, housegirl wako naye anafanya hivyohivyo anajaribu hata kuiba vitu vya thamani, hati ya hiyo nyumba, kuiba urithi wa watoto wako avitapanya hovyo na kuvihamisha kwenye jina lake. Familia yake na genge lake.
Wewe umemuajiri anafikia sehemu hakusilizi tena, hafanyi kazi uliyomuajiri, anajiona yeye ndio mwenye nyumba na wewe ndio houseboy wake anawatesa, kuwateka na kujaribu kuwaua watoto wako.
Waajiri wa Samia ni Watanzania, muajiriwa ni Samia, walinzi wa Tanzania ni JWTZ.
Utafanyaje, utamfukuza kazi na kutumia walinzi wako kumsindikiza nje ya nyumba na kujenga mifumo upya mifumo thabiti kuhakikisha huo ujinga haujirudiibtena ya au utaendelea kumvumilia avuruge kila kitu, kuharibu urithi wa familia?
Kipi kipya ambacho hakikifanyika huko nyuma???? Ambacho Samia yaani kafanya to the extreme???Kama una macho, una fikra huru, haupo ndani ya genge, una akili timamu, unapambana kupata kipato, kuingia JF, hutakiwi kuambiwa nchi ilipofikia.
Angeongea hivi magufuli wala angesail tu; ndiyo maana nasema tatizo sio CCM kwa walio wengi wanaompinga bali Samia. Ila akibadilika saizi akawa Majaliwa wote wanaanza kuimba wembe ni ule ule.. na kwa kuwa Samia ni mwanamke tena mzanzibar. Mkapa aliwahi kuwaita wapinzani ni wapumbavu na alisifiwa.Rais anaapa kulinda katiba. Yeye mwenyewe alituambia katiba ni kijitabu tu kama karatasi yoyote ile.
Kwani kuna shida ipi; Chivayo yuko karibu na Mnangagwa, Ruto, Mseveni, Rais mpya wa Malawi na hata Chakwera na bado sio story kwenye hizo nchi zote. Inaonesha watanzania tuna ulimbukeni fulani hivi... kwani Rostam hakuwa na ukaribu na JPM? Vipi kuhusu Mayanja construction? Lugumi? Na wengine wengi tu? Vipi sakata la CAG? Je ile ilikuwa good governance?Kwa mtizamo wako unaona ni hali kawaida Rais kuwa karibu na Kizigha, Chivayo, Rostam mafisadi papa ni sawa.
Kwa sababu aliuza story fake ya kuwapigania wanyoge. Kama alikuwa anapendwa kwa nini waliiba uchaguzi wa mitaa wa 2019? Uchaguzi mkuu wa 2020? Ni kwa kuwa watanzania ni wajamaa (na wajamaa ni kama sadist fulani hivi) wanafurahi mtu mkubwa akionewa. Kile kipindi wafanyabiashara kibao walitekwa (imagine eti Mo atekwe? Hadi leo naskkia haishi tena bongo) na kupelekewa taskforce za TRA,Na vyombo vingine.. fedha za watu zilinuang'anywa benki nk nk aliuza CD fake na wajamaa ndio wanapenda hichoKuhusu JPM jiulize pamoja na madhaifu yake kwanini alipendwa na bado anapendwa na wengi.
Hiyo ni vita ya madaraka, ndio maana nasema waliliwa timing too, ndiyo hizi kelele zote tunaziona.. wangepitisha mtu mwingine wanaemtaka hata hizi kele zisingekuwepo. Kuhusu TAL ni kosa japi hawakufungiwa kushiriki uchaguzi (tuweke facts right) - CDM walisema hawatashiriki bila reforms na hazikufanyika.Unachekesha sasa nani kampitisha Samia? Kuubaka na kuulawiti mchakato wa ndani ya CCM na kumfunga mpinzani mkuu na kuwafungia CDM kushiriki uchaguzi?
SGR hadi Dodoma kamalizia; Bwawa kamalizia; barabara za mwendokasi DAr zjnajengwa kwenda ngongolamboto, Mwenge, Mbagala imeisha ; ikiwemo flyover ya jangwani (tatizo sugu Dar), ubungo kimara anapanua njia sita; daraja la busisi kamalizia, ndege kanunua nadhani 5, msalatio dodoma uwanja unakamikika, zahanati kajenga, shuke nknk... umeme kajenga bwawa Rusumo huko nk nk... au ulitaka miradi ya magufuli asimalizie aanze yake???Ni kitu gani hata kimoja cha maana alichofanya kwa miaka karibu mitano?
Ambacho tutakipata kupitia jeshi??Tunataka katiba mpya. Mifumo mipya ya haki na uwajibikaji kwa kila mtu kuanzia winga hadi Rais. Kipi unashindwa kuelewa.
Vipi Kwa Sasa hayo mambo hayapo KATIKA serikali hii, je wao wafanyeje? MANA wanaona Bora jeshi liingie MANAKE lifute vyama na mambo ya demokrasia. Wao wanaona ni Bora KULIKO utawala WA ccm hakuna haki nlakimi wanasema KUNA demokrasia Sasa hivi HUWEZI mkosoa kiongozi WA ccm ukawa na guarantee ya juishi mwezi au MWAKA mbele wao wanaona inafaa wakishika nchi wanaweza FANYA new reform yaani kama ukombozi mpya na kujenga upya serikalihawawezi kutoka wao kama waoFact ni kwamba Watanzania wengi wako desperate na wanatapatapa.
Wanakemea serikali ya utekaji, isiyofuata demokrasia na ya uvunjaji wa katiba kwa kusifia mapinduzi ya kijeshi yanayochochewa na mwanajeshi anayemsifia Magufuli, mtu aliyekataza mikutano ya kisiasa iliyoruhusiwa kikatiba, aliyevunja demokrasia na kununua wanasiasa, aliyebariki utekaji wa watu.
Wanataka Tanzania mpya ya kuturudisha kwenye u Magufuli?
Sasa tukisema hawa watanzania wamechanganyikiwa, wana false hopes, wanatapatapa tu, that is a fact.
Vipi Kwa Sasa hayo mambo hayapo KATIKA serikali hii, je wao wafanyeje? MANA wanaona Bora jeshi liingie MANAKE lifute vyama na mambo ya demokrasia. Wao wanaona ni Bora KULIKO utawala WA ccm hakuna haki nlakimi wanasema KUNA demokrasia Sasa hivi HUWEZI mkosoa kiongozi WA ccm ukawa na guarantee ya juishi mwezi au MWAKA mbele wao wanaona inafaa wakishika nchi wanaweza FANYA new reform yaani kama ukombozi mpya na kujenga upya serikalihawawezi kutoka wao kama wao
Wewe sio mzima kichwani au unalipwa na Samia kusema unayoyasema. Nafikiri hata akiua Watanganyika wote ili abaki madarakani na kuhamisha mali na rasilimali zote za Tanganyika kwa familia yake na genge lake la Kikwete, Rostam, Abdul, Mafwele, Mchengerwa, Chivayo, Mombo,Kizigha utaendelea kutetea maovu yao yote kwa nguvu zako zote.Kipi kipya ambacho hakikifanyika huko nyuma???? Ambacho Samia yaani kafanya to the extreme???
Angeongea hivi magufuli wala angesail tu; ndiyo maana nasema tatizo sio CCM kwa walio wengi wanaompinga bali Samia. Ila akibadilika saizi akawa Majaliwa wote wanaanza kuimba wembe ni ule ule.. na kwa kuwa Samia ni mwanamke tena mzanzibar. Mkapa aliwahi kuwaita wapinzani ni wapumbavu na alisifiwa.
Kwani kuna shida ipi; Chivayo yuko karibu na Mnangagwa, Ruto, Mseveni, Rais mpya wa Malawi na hata Chakwera na bado sio story kwenye hizo nchi zote. Inaonesha watanzania tuna ulimbukeni fulani hivi... kwani Rostam hakuwa na ukaribu na JPM? Vipi kuhusu Mayanja construction? Lugumi? Na wengine wengi tu? Vipi sakata la CAG? Je ile ilikuwa good governance?
Kwa sababu aliuza story fake ya kuwapigania wanyoge. Kama alikuwa anapendwa kwa nini waliiba uchaguzi wa mitaa wa 2019? Uchaguzi mkuu wa 2020? Ni kwa kuwa watanzania ni wajamaa (na wajamaa ni kama sadist fulani hivi) wanafurahi mtu mkubwa akionewa. Kile kipindi wafanyabiashara kibao walitekwa (imagine eti Mo atekwe? Hadi leo naskkia haishi tena bongo) na kupelekewa taskforce za TRA,Na vyombo vingine.. fedha za watu zilinuang'anywa benki nk nk aliuza CD fake na wajamaa ndio wanapenda hicho
Hiyo ni vita ya madaraka, ndio maana nasema waliliwa timing too, ndiyo hizi kelele zote tunaziona.. wangepitisha mtu mwingine wanaemtaka hata hizi kele zisingekuwepo. Kuhusu TAL ni kosa japi hawakufungiwa kushiriki uchaguzi (tuweke facts right) - CDM walisema hawatashiriki bila reforms na hazikufanyika.
SGR hadi Dodoma kamalizia; Bwawa kamalizia; barabara za mwendokasi DAr zjnajengwa kwenda ngongolamboto, Mwenge, Mbagala imeisha ; ikiwemo flyover ya jangwani (tatizo sugu Dar), ubungo kimara anapanua njia sita; daraja la busisi kamalizia, ndege kanunua nadhani 5, msalatio dodoma uwanja unakamikika, zahanati kajenga, shuke nknk... umeme kajenga bwawa Rusumo huko nk nk... au ulitaka miradi ya magufuli asimalizie aanze yake???
Ambacho tutakipata kupitia jeshi??
Kufurahia allies wala si tatizo.
Tatizo ni kukosa nuance. Watu wana mentality ya all or nothing at all. Hero worship. Kutafuta mkombozi. Kutafuta silver bullet.
Ndiyo maana watu kama mimi au Nyani Ngabu tukija hapa na ku point out contradictions zinazooneshwa na habari ya kuwa euphoroc kwa video ya Kapteni Tesha, badala ya watu kukubali kuwa "Lakini kweli jamani, hapa tunamkubali Kapteni Tesha kwa hili na hili, lakini hili la kumsifia Magufuli na kumlilia is a red flag", hatuoni watu wengi kusema hilo.
Hatuoni watu wengi wakiwa na tatizo na dhana nzima ya utawala wa kijeshi.
Watu ndiyo kwanza wanataka wanajeshi wachukue nchi.
Utawala wa kijeshi si wa kidemokrasia.
Sasa watu wanadai demokrasia kwa kukumbatia utawala wa kijeshi?
That is a contradiction.
anza kuwapa wajukuu mawaidha, kuwatoa ccm hutaweza ata vyama vyote viunganeSasa angalia uchizi kama huu; na mtu bado unajitambua kuwa ungali hai?
Niko poa sana nasubiri kutumia HAKI yangu ya kikatiba tar 29 oktobaSanaa tu
Za ww?😃
Km hivi polepole wamepitq naeNiko poa sana nasubiri kutumia HAKI yangu ya kikatiba tar 29 oktoba
Hiyo na nyingine nyingi ni miongoni mwa sababu zitazonitoa mafichoni oktoba 29, hakuna kubaki ndani siku ya ukombozi wa taifaKm hivi polepole wamepitq nae
🖕Ku. Mmamayo umeolewa ulaya unatuambia ushennzi