Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,976
- 146,278
Kufurahia allies wala si tatizo.Penye vita ama common interest, nchi mahasimu huungana kupambana na common enemy.
Kwenye mapambano watu hufurahia kupata allies wenye nguvu
Je, watanzania kikundi fulani chenye mlengo tofauti na serikali iliyopo, wakisherehekea uwepo wa masalia katika vyombo vya ulinzi ambao bado wanaamini tofauti na serikali iliyopo ambayo wao wenyewe hutegemewa kuilinda
Je hilo silo jambo la kufurahia
Ninachokisema, watu wanafurahia allies lakini kikubwa zaidi kama vyombo vya usalama ambayo ndivyo hutumika kuzima maandamano ama political unrests dhidi ya watawala,
Pale vinapoonesha kuwa upande wao inakuwa kama imewaondolea ngao watawala dhidi ya watesi wao.
Sasa kama hawapaswi kufurahia je, wanapaswa kuona ni sawa pale vyombo hivyo vinapokuwa na watawala???
Hili si suala la mapinduzi ya kijeshi. Ila kikundi flani cha wananchi kuona kuwa watu wanaopaswa kuwatisha na kuwasambaratisha, wapo upande wao. Kitu ambacho chaweza kuwa kweli ama la, ikitegemeana na ukubwa wa kundi lililopo nyuma ya captain tesha. That's all
Tatizo ni kukosa nuance. Watu wana mentality ya all or nothing at all. Hero worship. Kutafuta mkombozi. Kutafuta silver bullet.
Ndiyo maana watu kama mimi au Nyani Ngabu tukija hapa na ku point out contradictions zinazooneshwa na habari ya kuwa euphoroc kwa video ya Kapteni Tesha, badala ya watu kukubali kuwa "Lakini kweli jamani, hapa tunamkubali Kapteni Tesha kwa hili na hili, lakini hili la kumsifia Magufuli na kumlilia is a red flag", hatuoni watu wengi kusema hilo.
Hatuoni watu wengi wakiwa na tatizo na dhana nzima ya utawala wa kijeshi.
Watu ndiyo kwanza wanataka wanajeshi wachukue nchi.
Utawala wa kijeshi si wa kidemokrasia.
Sasa watu wanadai demokrasia kwa kukumbatia utawala wa kijeshi?
That is a contradiction.