GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
We ngabu endelea kubaki utumwani huko uoshe soksi za mabibi ya Kizungu.

Tuachie Tanganyika yetu.

Kama wewe una akili nyingi jitokeze mstari wa mbele wa mapambano utafyatuliwa hilo bichwa mpaka utoke nduki.

Waachie manguli akina Tesha wazungumze. Kaa kimya mtoto wa kike wewe! jifiche uvunguni kabisa uendelee kuosha soksi za mabibi.

Usituletee nywinywinywi hapa.
 
Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.

Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.

Watanzania nawajua vizuri mno.

Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.

Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.

Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.

Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.

Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?

Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.

Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.

Happy Sunday ✌️.
Ndio maana unajiita Nyani you belong to the jungle na sio Uraiani.. Fisadi mkubwa wewe ukusikia Tesha unatetemeka, mwisho wenu umekaribia...The End of Dynasty 🇹🇿
 
Most Tanzanians are so desperate for something, anything.

Gwajima, Polepole, Captain Tesha.

Give them anything, they will bite.

And when you show them obvious contradictions that shows their pipe dreams, they will tell you off.

I already see the cheap ad hominem attacks flinged at you for simply pointing out facts.

Just because you refuse to entertain some ruse, emotional, non strategic rant.

Most people are so ready to get euphoric emotionally without any logical or strategic thinking.

Sometimes I think it is a coping mechanism, to cling to anything hopeful in a sea of hopelessness.

To a point where I ask myself, is it ethical to expose the holes in this hopeful disposition?
Uzuri ni kwamba hata wewe ni mmoja wa watanzania, hizo hulka/tabia ulizozitaja huenda unazo pia.

Alichokifanya Le Kapitan huenda hakijawahi kufanywa na mtanzania yoyote, tuishi humo coz tunataka mabadiliko na kwa njia za kidiplomasia ccm haitoki madarakani.

We are hopeful!
 
Kamkundu wee, ili bichwa umejaza minyoooo ???.

Video ifanye JWTZ watoke usiku usiku ??.

Kapuuzi wewe, watu msokua na akili Huwa mnamatatizo kwelikweli.

Hivi unaweza Solve tatizo la ghafla Ndani ya familia yako?.
Akili nusu. Pole, kunywa maji, kojoa, na pumzika ulale ili wenge likutoke!
 
Uzuri ni kwamba hata wewe ni mmoja wa watanzania, hizo hulka/tabia ulizozitaja huenda unazo pia.

Alichokifanya Le Kapitan huenda hakijawahi kufanywa na mtanzania yoyote, tuishi humo coz tunataka mabadiliko na kwa njia za kidiplomasia ccm haitoki madarakani.

We are hopeful!
Una uhakika na unachokiwaza na kuandika
 
Captein Ngabu Vs captein Tesha😂😅🤣
Kuna mmoja hapo atabutuliwa mpaka ajambe.

Usiseme nimesema ni Nyani Ngabu

Ukiwa na Kiranga bila akili utabamizwa kama ngoma.

Halafu wanaojifanya kupinga wote wako Ulaya wanafua soksi za vichaa kwa ujira wa dola.

Hebu wakwende huko. Viva Captain Tesha.

TESHA WA MAMA.
 
Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.

Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.

Watanzania nawajua vizuri mno.

Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.

Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.

Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.

Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.

Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?

Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.

Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.

Happy Sunday ✌️.
Nakubaliana kabisa na wewe kuwa ''watanzania ni makondoo''. Lakini unapoona kondoo angalau mmoja, anabadilika ghafla na kuanza kuji-behave kama kiumbe chenye akili, hudhani kuwa ni jambo la kushangaza?
 
ili uwe chawa lazima Kuna criteria mbili
1. Kuna kitu kizuri unanufaika nacho Kupitia uchawa
2. Kuna kitu kibaya unahofia kitakutokea hvo unaamua kuwa chawa.

Nachoshangaa kuhusu Hawa wabeba boksi wa JF ni kwanini wanakuwa na itikadi za kichawa?

Wanaogopa nini au Wanafaidika nini?

Wenzao kina Mange etc. Hawaogopi kuwa against maana hawawezi kutekwa huko waliko.
Hawa wa hapa wana manufaa Gani?

Au ni watoto wa viongozi?
 
Hii ndiyo changamoto ya baadhi ya wanachama wa JF wanataka siku zote waonekane kama wao pekee ndiyo kitovu cha ukombozi. Hali kama hii imekuwa ikiwagharimu hata wanasiasa wa upinzani, ambao nao mara nyingi wanataka waonekane kama mashujaa wakuu wa ukombozi wa taifa hili. Lakini pindi anapojitokeza mtu tofauti nao, wanaanza kusema eti 'huyu hatufai' au 'sio mwenzetu', badala ya kuangalia dhamira na mchango wake. Ukweli ni kwamba Tanzania ni ya kila Mtanzania, na kila mmoja ana haki ya kupigania nchi yake kwa namna anavyoona inafaa, mradi tu lengo ni kuhakikisha taifa letu linarejea mikononi mwa wananchi hilo ndilo jambo la msingi.
Huyu Nyani Ngabu anaona gere, anatamani yeye ndie angekuwa shujaa na mkombozi kama Tesha.

Tesha ni kidume, ana watu wenye maarifa na silaha nyuma yake. Ana nguvu ya kweli na ya uhakika.

Nyani Ngabu ana maboksi ya keki na maneno matupu yasiyo na athari yoyote.

Huwezi kuikomboa nchi kwa maboksi ya keki na ntantarira na maneno mpechempeche yasiyo na ujazo wowote.

Husda za Nyani Ngabu zinaongozwa na Kisirani chake tu na kutaka kujiona ana mawazo bora kuliko Kepteni Tesha.

Ajitokeze kama mwanaume kweli. Atabinywa mpaka ajute.

Kama anabisha amuulize shosti ake Tundu Lissu.
 
Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.

Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.

Watanzania nawajua vizuri mno.

Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.

Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.

Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.

Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.

Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?

Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.

Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.

Happy Sunday ✌️.
Dominika njema
 
Wewe endelea kuosha vinyeo vya vizee vya kizungu tu huko.ughaibuni ya huku tuachie wenyewe kila kitu unaponda tu, mlianza kusema huyo siyo askari lakini msemaji wa jeshi hajamkana hivyo tuliza kishundu chako huko tuachie wenyewe tunajua kinachoendelea
Yani jamaa ni li pessimist lipo kama boyaa alaf linajida kila kitu linajua li lofa kweli.
Huo ujasiri ulishawia kutokea hapa bongo hio tyr ni good step mana kashawapa wananchi confidence na yeye kashauri sio kasrma anataka kupindua nchi
 
Uzuri ni kwamba hata wewe ni mmoja wa watanzania, hizo hulka/tabia ulizozitaja huenda unazo pia.

Alichokifanya Le Kapitan huenda hakijawahi kufanywa na mtanzania yoyote, tuishi humo coz tunataka mabadiliko na kwa njia za kidiplomasia ccm haitoki madarakani.

We are hopeful!
Mkimbizi huyo hana sifa ya kujiita mtanzania, Tanzania awaachie watanzania wataipambania wajuavyo wao.
 
Back
Top Bottom