Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,486
Huwa wanasema kushauri ni rahisi, ila kuuishi ushauri wako unapopatwa ni ngumu sana.Mapenz hayana mbabe! Yaliyomkuta mwenzio yakikukuta wewe hautakumbuka lolote lile kati ya hayo
Huwa wanasema kushauri ni rahisi, ila kuuishi ushauri wako unapopatwa ni ngumu sana.Mapenz hayana mbabe! Yaliyomkuta mwenzio yakikukuta wewe hautakumbuka lolote lile kati ya hayo
Hahahaha has umenichekesha Sanaa navuta picha ulivyomtimuaPole sana Marry mapenzi haya kwa nini Lakin? Nakumbuka demu Wangu miaka hiyo aliponiacha nilitaka kunywa sumu kisa mapenzi. Baada ya miaka miwili baada ya kuona maisha yangu yamenyooka akataka turudiane wakati mimi nimeisha vuta Jiko na mimba juu, nilimfukuza kama mbwa
Utashaaa utakapokamatika tena, macho yatafumba ghaflahakuna mapenzi bila chapaa siwezi
Mambo vipi Mkuu?hata mi sijui aisee.. sema mimi mwepesi kumpiga chini kama naona hana uwelekeo wa chapaa
pouwa mkuu sasa wewe unakuja pm na hadithi nyingi.. me hapanaMambo vipi Mkuu?
Ndiyo nimetambua kwanini ulinipiga chini.
huwa nafurukuta kama nimekalia siafu ...Utashaaa utakapokamatika tena, macho yatafumba ghafla
Mjini kitamu pesapouwa mkuu sasa wewe unakuja pm na hadithi nyingi.. me hapana
vingine mbwembweMjini kitamu pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]pouwa mkuu sasa wewe unakuja pm na hadithi nyingi.. me hapana
Kwakweli hayo yatakuwa sio mapenzi bali kufarijiana tu.hakuna mapenzi bila chapaa siwezi
na mwisho kukimbianaKwakweli hayo yatakuwa sio mapenzi bali kufarijiana tu.
ndiyo unakuja upo vizuri .. si unakuja na nyimbo ya hali ngumu .. kama hali ngumu umekuja kufanya nini huku?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo mtu akija PM siyo kuja kibwege.
Ni kuja kutoa tu mkwanja mkuu.
Pesa zikiisha unasepa sio!! Sasa mapenzi ya namna hii tunayaitajeMjini kitamu pesa
Sasa si anakuwa mkweli juu yako?ndiyo unakuja upo vizuri .. si unakuja na nyimbo ya hali ngumu .. kama hali ngumu umekuja kufanya nini huku?
ha haha sasa kama hao wa vibomu vifupi huwezi .. tunaoomba makubwa utaweza kweli?Sasa si anakuwa mkweli juu yako?
Maana wanawake wa siku hizi ni nouma.
Utaombwa asubuhi, jioni, mchana mpaka kero.
Mpaka mtu unaogopa kumjulia mpenzi wako hali.
Maana ukimtext tu Meseji ya tatu utaambiwa sina hela ya kusuka au nimeona nguo nzuri niongezee hela.
Mjini kitamu pesa
sema unataka sh. Ngapi ya kuanzia? Teh teh.pouwa mkuu sasa wewe unakuja pm na hadithi nyingi.. me hapana
at list usound kwenye M+sema unataka sh. Ngapi ya kuanzia? Teh teh.