Kapoteza fahamu baada ya kuachwa

Kapoteza fahamu baada ya kuachwa

mkuu haiitaji kuwa serious sana kwenye maswala ya mahusiani
Kabla ya kuingia mzima mzima ni vyema kumchunguza kwanza, kujua kama ana mapenzi ya kweli, na hautachelewa kumjua. Ukiona hayuko serious unatupilia mbali na unasonga mbele, raha jipe mwenyewe
 
Hahaaaaa!! Khaaah yaani nipoteze fahamu kabisa! Ngoja lkn nibakize maneno maana sijapatwa. Maana haya mambo hayanaga mjanja bwana.
usiseme hayanaga wajanja tupo tumetulia tuliii...
 
Hahaaaaa!! Khaaah yaani nipoteze fahamu kabisa! Ngoja lkn nibakize maneno maana sijapatwa. Maana haya mambo hayanaga mjanja bwana.
Ni kweli Kuna wengi walisema hivyo Lakini mapenzi wendawazimu, Kuna wengine wamekufa kabisa licha ya kupoteza fahamu
 
hata mi sijui aisee.. sema mimi mwepesi kumpiga chini kama naona hana uwelekeo wa chapaa
Unapiga chini unajisepea, kusubiri hadi uzimie wakati red flags unaziona kabisa jamani!!! Au ndio mapenzi upofu!
 
Mapenz hayana mbabe! Yaliyomkuta mwenzio yakikukuta wewe hautakumbuka lolote lile kati ya hayo
 
Back
Top Bottom