Kapoteza fahamu baada ya kuachwa

Kapoteza fahamu baada ya kuachwa

Yaani hayo ndo madhara ya kupenda mzima mzimaa. Unaweza kufa
 
ha haha sasa kama hao wa vibomu vifupi huwezi .. tunaoomba makubwa utaweza kweli?
Ndiyo naweza.

Kwanini nisiweze?

Mtu anayeomba makubwa na akafanya makubwa huwa namkubali sana naweza nikamsapoti asilimia 100%.

Ila siyo yule wa vibomu vidogo vidogo vinakera sana.
 
Kwa kweli ... marry ana moyo wa kipekee... i wish ningekuwa nae. Anyway... japo nimeshajifunza coz tukio langu lilifanana sema tofauti ni mwanamke ndie aliyeniacha kwa nyodo. Kuna kuumia lakin... baada ya.muda.. unakuwa strong
 
KUMBE KUNA WATU BADO WANAZIMIA KWA AJILI YA MAPENZI DUH POLE YAKE
Relationship have so much power to bring joy into our lives, but at the same time have such a power to bring severe hurt as well. Rafiki, mapenzi yanaumiza sana mtu asikwambie labda kama wewe ujapenda. Kuna watu wamekufa kwa sababu ya mapenzi, Kuna watu wamekuwa vichaa kwa sababu ya kupenda, Kuna watu wamekatishwa tamaa ya kutopenda tena, Kuna watu wamekunywa sumu kwa sababu ya mapenzi, Kuna watu wamefilisika kwa sababu ya kupenda, Kuna watu wamekana hata wazazi wao kwa sababu ya mapenzi, naona wewe bado mtoto kwenye vitu hivi, bado unakuwa utayaona.
 
Siku akipenda... ndio ataelewa.. the meaning of true love
 
Yaani hayo ndo madhara ya kupenda mzima mzimaa. Unaweza kufa
Mapenzini mtu anazama mzima mzima, moyo wote unatuama, wengine kwake hawaoni tena, ajali Wala asikii, matokeo yake yule uliyemwamini anakuja kukupa adhabu, mateso, karaha, maumivu, Majuto, anaona si kitu kwake, anashindwa kuthamini Wala kujali hisia za mwenzake, inauma sana mkuu.
 
Back
Top Bottom