Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
Najua inaumiza saana, ila hamna namnaMapenzini mtu anazama mzima mzima, moyo wote unatuama, wengine kwake hawaoni tena, ajali Wala asikii, matokeo yake yule uliyemwamini anakuja kukupa adhabu, mateso, karaha, maumivu, Majuto, anaona si kitu kwake, anashindwa kuthamini Wala kujali hisia za mwenzake, inauma sana mkuu.