LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,694
Ama kweli "NO LIFE WITHOUT A WIFE, BUT A WIFE CAN BE A KNIFE TO CUT OFF YOUR LIFE" huyu mwanamke pamoja na kusimamia show zote tangu high school, chuo na kurudi mtaani hana muelekeo, nikatumia unguli wangu mjini kapata kazi T.R.A.
Nikaona ni wakati muafaka home wamjue mambo mengine ya kuwa pamoja milele yaendelee,wakamtambua na sifa tele kuwa najua kuchagua,mwisho wa siku hata posa hatujapeleka anasema alikurupuka nimuache, afanye kwanza kazi, anahisi kuwa single ni vizuri zaidi kwake, atanifikiria baada ya miaka miwili.
Sitaki tena kuoa?