Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,958
Angalia alama ya Piramidi kwenye uso wa Kanye West inaonyesha huyu ni Mwanancha wa lile kundi la Siri Duniani FreeMason.
Na wewe ninasikia Eti ni Mtu wa FreeMason je ni kweli lakini? Mkuu Money Stunnahizo ni story za kusadikika tu,watu wanajituma wanafanya kazi na kupata pesa,wavivu ndio wanakalia na hizo story za kusadikika
Na wewe ninasikia Eti ni Mtu wa FreeMason je ni kweli lakini? Mkuu Money Stunna