Kanye West azua kizaa zaa

The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
9,396
20,631
Ni baada ya kutoa video ya wimbo wake wa FAMOUS ambayo inaonyesha akiwa na watu kumi na 12 wako uchi.

Watu hao maarufu duniani waliopo kwenye video hiyo ni pamoja na Donald Trump, George Bush, Bill cosby, caitlyn Jenner, Kim kardashian, Tylor swift, Rihanna, Anna Wintour, Ray Jay, Chris brown na kanye west mwenyewe.
ImageUploadedByJamiiForums1467061555.138710.jpg


Video hii imezua kizaa zaa mara baada ya mastar hawa kufura ile mbaya kwa kuwepo humo ila kanye mwenyewe kawashukuru kwa wao kuwa famous

Video hii huwezi kuipata you tube bali inapatikana kwa ku stream kutoka tidal

Inasemekana video hii imekuwa inspired na painting ya "sleep" ya Vincent Desiderio iliyotoka mwaka 2008. Huku wengine wakiihusisha na muendelezo wa tuhuma zinazomkabili za kujifanya yeye ni Yesu (anajiita YEEZUS) na hapo akiwa na wanafunzi wake
 
Chris Brown kule Instagram kapost picha ambayo kayapanga madoli kama hivi, nilikua sijui lakini sasa naelewa alikuwa na maana gani.
 
Jaman jaman iv n kuwa wanamchafua tramp au nn maan ht kwny muvi y grimsby ameonyeshwa km muathrk wa vvu
 
Ila hizo sio picha halisi.. I mean ni art na hao walioko kwenye hio clip sio wahusika wenyewe...
But very creative
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom