Kanye West amtumbua jipu Jay Z

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Nilikuwa nategemea kuna siku kama hii itafika.
Tangu Jay Z na Beyonce watose kuhudhuria
harusi ya Kanye West na Kim Kardashian miaka
miwili iliyopita, urafiki wa Yeezy na Hov uliingia
matatani.
1477049592351.jpg

Wawili hao kila mmoja amekuwa na maisha yake
na kinachowaunganisha sasa ni mtandao wa
Tidal wanaoumiliki pamoja, lakini hakuna urafiki
tena.
Na sasa Kanye yamemfika shingoni na ameamua
kuyatoa. Akiwa kwenye show ya ziara yake ya
Saint Pablo huko Seattle, Yeezy amemchana Hov
kwa masuala kibao, kikazi hadi kifamilia.
Amelalamika kuwa watoto wao, hata hawajahi
kukutana na kucheza pamoja licha ya kile
wanachokiamini kuwa ni marafiki. “I can’t take
this shit, bro,” alisema katikati ya show hiyo.
“Our kids ain’t never even played together.”
Yeezy alimchana pia Jigga kuwa asimpigie simu
kumpa pole kwa mkasa wa mkewe kuvamiwa na
kuporwa huko Paris, bali anatakiwa kwenda
nyumbani kwake na kumsalimia.
“You wanna know how I’m feeling?” Don’t call
me, after the robbery, and say ‘how you feelin?’
You wanna know how I’m feelin? Come by the
house. Bring the kids by the house like we
brothers. Let’s sit down.”
Pia Kanye alizungumzia uadui wa Tidal na Apple
unaomkera ambao anaamini unazuia mambo
mengi, huku akimtupia lawama Jay Z kuwa
chanzo. Alieleza pia kuwa mashabiki wasitarajie
album nyingine ya Watch the Throne.
Source :bongo5
 
Hivi kuna celeb duniani mwenye maringo na anae jichukua kama jigga , subiri sasa aone kama blue ata pelekwa kucheza na north.... Kwanza ku fanya tu collabo na jigga ni lazima uwe una eleweka aiseee jamaa yuko selective sana... Jay wa umbrella na rihanna sio wa sasa....
 
Hivi kuna celeb duniani mwenye maringo na anae jichukua kama jigga , subiri sasa aone kama blue ata pelekwa kucheza na north.... Kwanza ku fanya tu collabo na jigga ni lazima uwe una eleweka aiseee jamaa yuko selective sana... Jay wa umbrella na rihanna sio wa sasa....
wote wabinafsi
 
kweli mbongo mmoja akitafsiri vibaya ndo koooote, muda napitia hii thread nilikuwa nasikiliza radio, jamaa anasoma kama ilivyoo hata hajajiongeza
 
Jay z - jehova mdogo.
Kanye west - yesu mdogo.
Blue ivy - shetani kinda.

Kifupi wote ni mashetani,
Halafu mtoa thread hii, hawa hawakusaidii chochote
Kila mtu na maisha yake,
Urafiki wao, ugomvi wao wewe haukuhusu.
Tafuta hela wewe kazi umbea tuuuuuuu.
 
Jay z - jehova mdogo.
Kanye west - yesu mdogo.
Blue ivy - shetani kinda.

Kifupi wote ni mashetani,
Halafu mtoa thread hii, hawa hawakusaidii chochote
Kila mtu na maisha yake,
Urafiki wao, ugomvi wao wewe haukuhusu.
Tafuta hela wewe kazi umbea tuuuuuuu.
Wewe ungekuwa na hela usingekuja kubanana na sisi kwenye jukwaa la umbea, nadhani unaham ya kukalia
 
Hiyo ya kutokwenda kwenye harusi ni Beyonce ndio aliweka ngumu, Beyonce hamkubali kabisa Kim Kardashian na jinsi alivyopata umaarufu wake
 
Jay z - jehova mdogo.
Kanye west - yesu mdogo.
Blue ivy - shetani kinda.

Kifupi wote ni mashetani,
Halafu mtoa thread hii, hawa hawakusaidii chochote
Kila mtu na maisha yake,
Urafiki wao, ugomvi wao wewe haukuhusu.
Tafuta hela wewe kazi umbea tuuuuuuu.
Kama mpo wanne hapo hakuna mzima hapo
 
Mwanaume unalia eti watoto wenu hawachez pamoja, by the way watoto wake wakikua asisahau kuwawekea ile porno ya Kim Kardashian na ray J wataenjoy saaana
 
Mwanaume unalia eti watoto wenu hawachez pamoja, by the way watoto wake wakikua asisahau kuwawekea ile porno ya Kim Kardashian na ray J wataenjoy saaana
mkuu kuteleza si kuanguka,kauli yako kali as if hujawai kosea chini ya jua au hautokaa uwe mzazi
 
Jay z - jehova mdogo.
Kanye west - yesu mdogo.
Blue ivy - shetani kinda.

Kifupi wote ni mashetani,
Halafu mtoa thread hii, hawa hawakusaidii chochote
Kila mtu na maisha yake,
Urafiki wao, ugomvi wao wewe haukuhusu.
Tafuta hela wewe kazi umbea tuuuuuuu.
Safi sana...
 
Back
Top Bottom