Kanye West azua kizaa zaa

Ni baada ya kutoa video ya wimbo wake wa FAMOUS ambayo inaonyesha akiwa na watu kumi na 12 wako uchi.

Watu hao maarufu duniani waliopo kwenye video hiyo ni pamoja na Donald Trump, George Bush, Bill cosby, caitlyn Jenner, Kim kardashian, Tylor swift, Rihanna, Anna Wintour, Ray Jay, Chris brown na kanye west mwenyewe.
View attachment 360720

Video hii imezua kizaa zaa mara baada ya mastar hawa kufura ile mbaya kwa kuwepo humo ila kanye mwenyewe kawashukuru kwa wao kuwa famous

Video hii huwezi kuipata you tube bali inapatikana kwa ku stream kutoka tidal

Inasemekana video hii imekuwa inspired na painting ya "sleep" ya Vincent Desiderio iliyotoka mwaka 2008. Huku wengine wakiihusisha na muendelezo wa tuhuma zinazomkabili za kujifanya yeye ni Yesu (anajiita YEEZUS) na hapo akiwa na wanafunzi wake
Kule bush katoka
Msanii amtoe mkapa aone cheche zake
 
mlalo wa Kim Unaifanya swaumu yangu iyumbe. Yaani amenikumbusha ile issue yake na RAY J kuna kipande fulani alilala mlalo huo. NI BURUDANI TOSHA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom