Manyunchwi
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 431
- 150
Poaaaa! Manak ni mtamu huo ubuyu wa pemba!
CARDINAL RULE YA BLIND DATING NI TANGULIZA PICHA YAKO, IKIFELI INTERVIEW USIJISUMBUE!!!!!!:lol:! Tusiishi kama zama za babu mambo ya DIGITALI YAKO, why take a maximum risk? Sema kwa sisi wahuni wa mjini ujihadhari na
1. Kanya boya! Unakuwa hujiamini so unamtafuta mtaalam wa haya mambo ankuwakilisha afu unakuwa mshika pembe kidesign, afu mtaalamu anajifanya hajakusoma, yule mpambe muhuska ndo anajiongeza, hapo baada ya kufikia viwango vya FIFA, ukiwa chini ya kiwango wanakuzingua tu.
2.Kupelembwa! Ile out of courtesy ili muhusika asijisikie vibaya kwamba hafikii viwango vya FIFA, anakuwa led along na fake relation kwa mda mfupi afu anatafutiwa sababu zisizo na tija za kutemwa ili kumpa moyo.
3.Mnaweza kupendana kimuonekano yeah, lakini CHEMISRTY ikagomaa kabisaa, mnajikuta tu hamna chemstry sasa yale mambo ya mechi za kirafiki ndo yanakoleaaa.
4.Swala la too much expectations. WE MBAYAAA AFU UNATEGEMEA MWENZIO AWE MZURI!!!!!!!!!! Hahahaaaa! Na unaweza kujihisi mzuri ukakuta mwenzio mzuri zaidiiii level za MONEY Stuna na Vin Diesel (Msije kuanza oooh Lara ashaanza kujitongozesha kwa Muhaya Money Stunna la hashaaa, kizuri lazima nisifie, japo ndio ya sio inaweza kuwa ndio ama sio kiundani. Vin Diesel chama langu all day every day!)
Blind dating kimsingi ni nafasi ya nyie kuamua kama mngependa kwenda kwenye second date ama la, Period.
4. Mavazi siku zote yataku-define bruv.
6. Kabla ya kukutana hayo maneno utakuwa umeyatamka kwa nani?
8. Kwanini uigize, Can't you be yourself?
Mkuu hii blind date mnayoiongelea hapa ni kwa wale singoz tu au
Mwanamke dont talk too much let him be the leader and watch how it goes
okey. sasa hiyo ya kujichelewesha ili nisionekane desperate itanishinda. Kanuni yangu ni tukikubaliana saa 12.00 ni saa 12.00, hivyo naweza kufika hata robo saa kabla. Ukiniona desperate mi ntakuona mswahili.
Ila ujue uta-fake kila kitu but class bruv.
'No matter where you go, you're what you're player'
9.kama una gari usiizime weka silencer.
hapa cha msingi ni kumake first impression nzuri. kumbuka hii ni blind date.
Mkuu hii blind date mnayoiongelea hapa ni kwa wale singoz tu au
okey. sasa hiyo ya kujichelewesha ili nisionekane desperate itanishinda. Kanuni yangu ni tukikubaliana saa 12.00 ni saa 12.00, hivyo naweza kufika hata robo saa kabla. Ukiniona desperate mi ntakuona mswahili.
Hapo mi nakataa, ubaya wa kuigiza ni kwamba you'll run outta script at some point, and fall. Kuigiza inamaanisha mwenyewe hujikubali, tena kwa issue kama ya blind date ambayo unakuwa hujui utarajie nini ndio unajiachia tu kama ulivyo. Don't let out too much info about you, but never act.Katika initial encounter huwezi kuwa yourself kaka, sio kwa mwanamke!!!
Sisemi nakubaliana na mbinu alizotoa mleta mada ila ukimtaka mwanamke wa siku hizi lengo namba moja ni kugain access kwake, then ukishafanikiwa hilo you can show your true colors...ili kugain access you have to do what it takes
So kwa initial stage nakubali unaweza uka-divert from the norm kwa kuigiza kiasi!!!
Mwanamke usithubutu kulipia bill mwache mwanaume alipie