Kanuni mpya za kupata mgombea wa ubunge CCM ni kilio na kusaga meno kwa mawaziri na wabunge waliokaa bungeni muda mrefu

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,126
Reaction score
9,593
Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe.

Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja Lina wajumbe mpaka 14,000. So kuwaonga wote inakuwa ngumu sana.

Kwa hizi kanuni siwaoni Hawa wakipenya kwenye kura za maoni.

Innocent Bashungwa
Simbachawene
Mwita Waitala
Patrobas Katambi
Byabato
DEO Sanga
Naibu waziri Mollel
Babu Tale
Mwana FA
Silinde ...n.k

Kutakuwa na kilio na kusaga meno kwa Wabunge na mawaziri wa CCM.
 
14,000 kitu gani ndugu yangu. Hapo kama mtu ni waziri basi kutembeza Tsh 50,000/= kwa kila mjumbe sio jambo la ajabu, kiufupi ubunge umeshapanda bei, sio 500mil tena kama 2020, Sasa watu wamekusanya over 1bil, especially mawaziri. We hujamsikia Wasira majuzi anashangaa mtu tayari kashatumia 1.4bil na hata fomu bado hazijachukuliwa, anasema si bora angefungua kiwanda cha samaki na boti za uvuvi Nyasa.
 
Idadi ya wajumbe sio kikwazo kwenye rushwa. Kama rushwa ipo, kitakachobadilika ni kiasi cha rushwa na namna rushwa hiyo inavyotolewa tu.
 
Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe.

Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja Lina wajumbe mpaka 14,000. So kuwaonga wote inakuwa ngumu sana.

Kwa hizi kanuni siwaoni Hawa wakipenya kwenye kura za maoni.

Innocent Bashungwa
Simbachawene
Mwita Waitala
Patrobas Katambi
Byabato
DEO Sanga
Naibu waziri Mollel
Babu Tale
Mwana FA
Silinde ...n.k

Kutakuwa na kilio na kusaga meno kwa Wabunge na mawaziri wa CCM.
Simbachawene ukiongezea na Adolf mkenda wajumbe chonde chonde msifanye makosa mkawarudisha Hawa watu. Maana huwa wanajiona wanajua Sana, wanaakili sana kumbe kula Yao inategemea huruma ya wajumbe.
 
HKT au KK... inaweza kufanya watakalo....only hapo ndio wanaopendwa watapenya
 
14,000 kitu gani ndugu yangu. Hapo kama mtu ni waziri basi kutembeza Tsh 50,000/= kwa kila mjumbe sio jambo la ajabu, kiufupi ubunge umeshapanda bei, sio 500mil tena kama 2020, Sasa watu wamekusanya over 1bil, especially mawaziri. We hujamsikia Wasira majuzi anashangaa mtu tayari kashatumia 1.4bil na hata fomu bado hazijachukuliwa, anasema si bora angefungua kiwanda cha samaki na boti za uvuvi Nyasa.
Hatankama ni wewe utaacha kuonga hizo jilioninmoja au bili ili hali ukipenya tu unauhakika uwaziri unao na kwenye uwaziri huko utapiga mara mia ya hela uliyohonga..
 
Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe.

Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja Lina wajumbe mpaka 14,000. So kuwaonga wote inakuwa ngumu sana.

Kwa hizi kanuni siwaoni Hawa wakipenya kwenye kura za maoni.

Innocent Bashungwa
Simbachawene
Mwita Waitala
Patrobas Katambi
Byabato
DEO Sanga
Naibu waziri Mollel
Babu Tale
Mwana FA
Silinde ...n.k

Kutakuwa na kilio na kusaga meno kwa Wabunge na mawaziri wa CCM.
No reform No Election ni swala la muda tu kuimbwa na kila mpenda haki
 
Back
Top Bottom