vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,825
- 1,307
Tunaomba Picha hapa.
Umbea niliosikia.
1. Mpaka sasa fence ya makaburi ya kinondoni ipo chini.
2. Leaders pamajaa hakuna mfano kwahiyo kuna watu wamewahi ,akaburini.
3. Watu walio juu ya miti ni wenge kuliko wale walio chini.
Huu ni umbea tu napata kwa walio maeneo hayo.
Picha please!!!!