Kanisa limekataa kusalisha ibada ya mazishi ya Mushi

Kanisa limekataa kusalisha ibada ya mazishi ya Mushi

Si sahihi kusema ukifa maombi hayakusaidii. Mbona Martha alimwombea ndugu yake Lazaro kwa Yesu, baada ya Lazaro kufa, na Yesu akamfufua?

God exists outside time. Sala za baada ya mtu kufa ni available to God at the moment of judgement. Si za baadaye maana hakuna baadaye huko, kwani hakuna time.

Hatujui kama mtu yeyote amepotea. Hilo tunamwachia Mungu. Letu ni kuomba bila kuchoka.

Usipotoshe.Martha alimuomba Yesu amuombee wakati Lazaro bado mgonjwa sio alipokwishafariki.
 
Well said. Hata aje Papa kuendesha misa haisaidii.Ukifa ushakufa
ofcoz hawakutaka aje afufuliwe, si ni taratibu tu kuwa kuna ibada ya mazishi? Na hao waliokataa kumsomea misa wanajuaje kwa hakika huyo jamaa alijiua.
 
Sasa kanisa lina uthibitisho gani kama alijiua au aliuwawa wakati uchunguzi bado kukamilika!!? Huku ni kuchukua sheria mkononi!

Waumini walio wengi wana imani za kinafiki pamoja na viongozi wao.Wapumbavu sana coz wanakimbilia kuhukumu utadhan walikuwepo pindi mauaji yanatokea.I hate dini za mapokeo I HATE kwa herufi kubwa aaaaarrrrgggghhh!!!
 
Watu na wawazike wafu waho, yule aliingiliwa na shetani wa mauti akatenda lile kosa na wala sio yeye kama binadamu wamekataa kumsalia bule kwani hakuwa na dhambi wao ndio wenye makosa,kutwa kila Jpili wanawaombea viongozi wala rusha na mafisadi waendelee kudumu na kutunyonya
 
ofcoz hawakutaka aje afufuliwe, si ni taratibu tu kuwa kuna ibada ya mazishi? Na hao waliokataa kumsomea misa wanajuaje kwa hakika huyo jamaa alijiua.
Hujambo mama!! Kwa katoliki ni zaidi ya taratibu.Ni imani kuwa kwa ibada maalumu za misa marehemu anaweza pitia stages mfano toka toharani na kwenda mbinguni.
 
Hujambo mama!! Kwa katoliki ni zaidi ya taratibu.Ni imani kuwa kwa ibada maalumu za misa marehemu anaweza pitia stages mfano toka toharani na kwenda mbinguni.
sikatai, na ndio maana nikasema ni taratibu kwa maana kuwa ina umuhimu wake kwa waaminio. So awe papa au padri lengo ni kumpa marehemu haki yake ya kuzikwa kama muumini (not otherwise).
sasa wametumia uthibitisho upi kumnyima marehemu haki yake ya kiimani?
Sjambo dada hofu kwako.
 
mimi nahamini ibada ya marehemu inasaidia

Iman yako ni nzur kwa inakutia moyo kwenye hamna.
Hebu nielewe mpendwa,
Toba thabiti yakupasa uiombe ww ktk uhai wako kwa kujutia nin umemtenda mung,maana baada za kifo ni hukum,
Ile kukutana makaburin na kuombeana ati mlaze pema pepon nisawa kwa tuliobaki hai na si kwa marehem.
Hiyo ndo siri mtambuka.
 
Hivi Mungu aliposema ombeni nanyi mtapewa,bisheni hodi nanyi mtafunguliwa..ali categorize vitu gani ni vya kuomba na vitu gani tusimuombe. Mi nilijua mambo yoyote mazuri tunaweza kumuomba. Hata kumuomba amlaze mahali pema peponi marehemu,ambayo kwa English wanasema R.I.P!
 
Katoliki mtu akisadikiwa kujiua haombewi... wanataratibu ambazo haziangalii nani ni nani...hata JK juzi kwenye misa ya kumuombea Mwl Nyerere inasemekana hakuhudhuria kwa kuwa alitaka kuja na kiti chake kanisani akachomolewa....chezea katoliki wewe....lililowekwa limewekwa na kama hutaki unalala mbele
 
kanisa limehukumu. ajuaye kuwa ana makosa au hana ni mungu pekee.
 
sasa ukiwa umekufa mazingira ya kutatanisha kama umenyongwa lakin mpango umeandaliwa ikaonekana umejinyonga kwenye mti wakat umenyongwa.?

Kama yule askari wa morogoro "aliyejinyonga" akiwa kapiga magoti chini..
 
Si sahihi kusema ukifa maombi hayakusaidii. Mbona Martha alimwombea ndugu yake Lazaro kwa Yesu, baada ya Lazaro kufa, na Yesu akamfufua?

God exists outside time. Sala za baada ya mtu kufa ni available to God at the moment of judgement. Si za baadaye maana hakuna baadaye huko, kwani hakuna time.

Hatujui kama mtu yeyote amepotea. Hilo tunamwachia Mungu. Letu ni kuomba bila kuchoka.

Soma Waebrania 9: 27
 
Mbona ni utaratibu wa kawaida tu jaman? Au kwakuwa swala la Mushi liko kwenye press sana? Binafsi mimi sio ishu ya kwanza kusikia achilia mbali kuona!

Nimeshuhudia misiba miwil marehem walizikwa bila taratibu za kikanisa, mmoja alikunywa sumu na mwingine hakuwa kundini.

Hata polisi au askari akijitoa uhai huwa hazikwi kwa taratibu za kijeshi. Ni mambo ya kawaida tu.ndio tujifunze thamani ya uhai wetu ni mkubwa na haufananishwi na kitu chochote.
 
Mambo ya imani!!! we acha tu! kwa hiyo huenda mushi anateseka huko aliko kwa kuwa Mungu hajapata msimamo wa kanisa amuhifadhi mahali gani!!!
 
Katoliki mtu akisadikiwa kujiua haombewi... wanataratibu ambazo haziangalii nani ni nani...hata JK juzi kwenye misa ya kumuombea Mwl Nyerere inasemekana hakuhudhuria kwa kuwa alitaka kuja na kiti chake kanisani akachomolewa....chezea katoliki wewe....lililowekwa limewekwa na kama hutaki unalala mbele

Duuh we jamaa fiksi kweli..
 
Watu na wawazike wafu waho, yule aliingiliwa na shetani wa mauti akatenda lile kosa na wala sio yeye kama binadamu wamekataa kumsalia bule kwani hakuwa na dhambi wao ndio wenye makosa,kutwa kila Jpili wanawaombea viongozi wala rusha na mafisadi waendelee kudumu na kutunyonya

Wanafiki mafisadi yanaiba mali za wanyonge wanaombewa, wao ndiyo wanahukumu? Kama jamaalijutia kosalake dk chache kabla ya kufa watajuaje wanajivika umungu.
 
kanisa limehukumu. ajuaye kuwa ana makosa au hana ni mungu pekee.

Ktk akili zako za kibinaadam unaamini marehemu Mushi(Mungu amrehemu)alikosea au hakukosea????namaanisha kuua kisha kujiua sio kosa kwako/kulingana na imani yako!!?
 
Back
Top Bottom