Kanisa lamuandalia tuzo Lowassa

Huu ujasiriamali wa kiroho huu.
ujinga mtupu si na wewe uufanye, msiwe mnabeza mambo mazuri kisa upo CHADEMA. BABA BABA BABA MZAZI E.L endelea na kasi kusanya tuza gawa mapesa mzee wangu, wapige noti mpaka roho zao zaitakasike. halafu we ben saatisa to mawazo yako mgando na mawazo yako ya kimaskini.
 

Mkuu ni dhahili hauifahamu vizuri Roman catholic na haujui inavyofanya kazi zake; Kwa kukusaidia kasome historia ya Roman catholic ndo urejee kwenye mjadala.
 
Kabla ya kupata maamuzi ni nani mafisadi wanamsimamisha katika kiti cha Urais tutakuwa tumesikia na kuona mengi nawaambia!

ETI WAMEMWANDALIA TUZO!
 
Huu ujasiriamali wa kiroho huu.

Hakuna cha ujasiliamali wa kiroho. ni ujasiriamali wa wachungaji wa mishahara harambe zote wanazo zifanya hazina baraka kwa MNGU.kutoa kwa kujitangaza ilikuwa tabia ya MAFARISAYO
 
Hilo lazima ni KANISA LINALOONGOZWA NA PEPO/SHETANI; Lowasa tuzo? Au mwingine sio ninaemjua mimi MWIZI, FISADI, MZANDIKI, MWENYE VISASA NA ASIWE PENDA WENZAKE WAISHI HAPA DUNIANI...
 
Tina

ningekuwa nakufahamu ningeleta mahari, potelea mbali hata kama ungenitosa. siamini kuwa wewe tina ndo ulioandika ukweli na kuwa consistence kuanzia mwanzo hadi hapa tulipo. Again thanks tina for this. najua wakisoma hapa wataona aibu na siajabu hamna hata mtu mmoja atakaequote katika kuchangia kwa sababu umehit kwenye core.
 
Last edited by a moderator:
Misikiti iandae tuzo kwa Hamin Mulungu a.k.a Philipo Mulugo.

mkuu najua umesukumwa na jina la hamimu, huyo pia ni mkiristo mwenzako. soma kuna habari humu JF kuwa philipo ni jina la ubatizo. au ulikuwa na maana gani? unaruhusiwa kuspin na kufanya u-turn.
 
Fimbo kali kwa viongozi wa dini ambao ni wanafiki Mungu kaishikilia......kwani hamjui ya kwamba kuna masikini anetoa sadaka ndogo ya Tsh50 lakini ndio ina thawabu kwa Mungu kuliko mamilioni Yasio ya halali? Hata mtu atoae 50 nae apewe tuzo.....msiharubu vifungu vya maandiko matakatifu kwasababu sisi tutageuka mafuvu ya Oldupai Gorge lakini maandiko Hayatapita kamwe!
 
Ahsante sana Mkuu Tina...usijichimbie kupita kiasi michango yako iliyojaa hekima na busara inahitajika hapa jamvini.

 
Asante. Yaani Yesu nadhani anajishangaa huko alipo manake sasa kanisa limekuwa kitu tofauti kabisa na kazi aliyotumwaga yeye duniani. Kanisa imekuwa biashara na mahala pa kuganga njaa. Im feel so ashamed! Nilifurahi sana bishop dr malasusa hakumualika lowassa wala maselebriti wengine kwenye kuchangia marekebisho ya kanisa lililochomwa mbagala.
Badala ya kutumia

KANISA LAMUANDALIA TUZO LOWASSA

ungetumia

DHEHEBU LA OVERCOMES LAMUANDLIA TUZO LOWASSA

ili kuondoa utata kwamba tuzo hiyo ni ya kanisa kwa maana ya wakristo wote.
 
Huu ujasiriamali wa kiroho huu.
wewe mwenyewe "mjasiriamali" ... haiwezekani chama chako "makini" kinavyo piga kelele kujiuzulu kwa viongozi wakubwa serikalini kwa makosa madogo lakini wewe na mauza uza yako ndani ya CDM hujajiuzulu wala "kutimuliwa"
 

Labda ungeanzisha mada hii kwenye jukwaa la dini tungeijadili vyema. Kimsingi kanisa pale linapofuata misingi inayomkiri Kristo, taratibu za ibada na maadili yake. Taratibu nyingine nyingi ni za kibinadamu zilizopelekea kuibuka kwa madhehebu tofauti.

Catholicism is a broad term for describing specific traditions in the Christian churches in theology and doctrine, liturgy, ethics and spirituality.


For many (Ukiwemo wewe) the term usually refers to Christians and churches, western and eastern, in full communion with the Holy See, usually known as the Catholic Church or the Roman Catholic Church
 
Kwani mh Lowassa huwa hajitolei katika mambo ya kijamii?
 
Siyo wakazi wa jamii ya iringa sema Boaz ZOLLO amuandalia tuzo edward lowasa
 
Badala ya kutumia

KANISA LAMUANDALIA TUZO LOWASSA

ungetumia

DHEHEBU LA OVERCOMES LAMUANDLIA TUZO LOWASSA

ili kuondoa utata kwamba tuzo hiyo ni ya kanisa kwa maana ya wakristo wote.

Sio kosa langu kwani hiyo ndio heading kwenye gazeti lenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…