Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,164
- 128,858
.
Alianza TB Joshua, sasa yanafuatia makanisa haya madogo madogo, itafuatia misikiti, the by 2014 lifuatia Anglican, Mid 2015 Lutheran, October, 2015 ndipo itakuwa zamu ya lile Kanisa ni Moja Tuu, Takatifu Katoliki La Mitume!.
Japo yeye ni sauti tuu ya mtu aliye nyikani, Mungu Baba ataudhihirisha utukufu wake kupitia kwayo, kwa "jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!", na litatimie lile neno "Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu nitalijenga taifa langu!".
Kwa wale ambao ni wabishi kuliko Tomaso wakidhani kuna mambo ambayo hayawezekani!, nawahakikishia "nothing is impossible under the sun!" na "lisilowezekana kwa binadamu, kwa Mungu, linawezekana!".
Pasco.
Kuna neno limemisi, "Kanisa ni Moja Tuu, Takatifu Katoliki La Mitume!'.Kuna kanisa moja tu Katoliki la mitume.