Badala ya kutumia
KANISA LAMUANDALIA TUZO LOWASSA
ungetumia
DHEHEBU LA OVERCOMES LAMUANDLIA TUZO LOWASSA
ili kuondoa utata kwamba tuzo hiyo ni ya kanisa kwa maana ya wakristo wote.
hajakosea, wee ndo ulitakiwa kuifuatilia habari hiyo content yake! sasa kama unataka uchangie mawazo yako bila kuisoma hilo ni tatizo mkuu!