Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Huu ujasiriamali wa kiroho huu.
ujinga mtupu si na wewe uufanye, msiwe mnabeza mambo mazuri kisa upo CHADEMA. BABA BABA BABA MZAZI E.L endelea na kasi kusanya tuza gawa mapesa mzee wangu, wapige noti mpaka roho zao zaitakasike. halafu we ben saatisa to mawazo yako mgando na mawazo yako ya kimaskini.Huu ujasiriamali wa kiroho huu.
Pengo andaa tuzo kwa Wilbroad Slaa na Chadema kwa ujumla,malasusa andaa tuzo kama hizo kwa hao makamanda na matuzo mengimengi wapewe wanasiasa wakikristo ili tupumue maana kila akikaa wa dini fulani hivi malalamiko kuanzia kwa rais mpaka kumbi za kelele haziishi...Ni democrasia tu ila kidini zaidi maana mmetutuma hatukutaka na hatukuwahi kuupenda lakini kwa yanayotokea kwa kukalia kiti dini fulani tumejua ni hatari kwa taifa na ni jambo la kujilaumu sana kuchagua hawa jamaa
Huu ujasiriamali wa kiroho huu.
Hivi kwani misikitini hachangii?
mungu wa misikitini hapendi hela za dhulma.Hivi kwani misikitini hachangii?
Saaafi sana ngoja sasa tuweke mfumo kristo wa ukweli ili wapinga kristo wapate uhalali sasa wakulalamika
Misikiti iandae tuzo kwa Hamin Mulungu a.k.a Philipo Mulugo.
Tutakimbilia Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya kutafuta hifadhi, maana wao wameshaonja joto ya uvunjifu wa amani kutokana na uroho wa madaraka wa watu kama Lowassa ambaye kwake URAISI ni kwa gharama yoyote ile na saa hizi watu wameshapofuka macho na kusahau kila kitu hata wale waliokua humu JF wakimshambulia kwa maneno makali, ambayo sasa wanaona hata aibu kuyatamka maana wanaona watakumbushia f_s_di mkuu na watapoteza ulaji.
Kwa sasa nyumba za ibada peleka tu minoti hakuna atayehoji ulipataje. Sasa hivi nyaraka za viongozi wa dini za 2010 zilizokua zinazungumzia ufisadi hazipo tena na badala yake zinaibuka kauli na matamko kusema mambo ya jumla jumla na yanayotokana na mikakati mipya inayotengenezwa kutusahaulisha ufisadi waliokua wanauimba. Mwenye macho haambiwi tizama.
Badala ya kutumia
KANISA LAMUANDALIA TUZO LOWASSA
ungetumia
DHEHEBU LA OVERCOMES LAMUANDLIA TUZO LOWASSA
ili kuondoa utata kwamba tuzo hiyo ni ya kanisa kwa maana ya wakristo wote.
wewe mwenyewe "mjasiriamali" ... haiwezekani chama chako "makini" kinavyo piga kelele kujiuzulu kwa viongozi wakubwa serikalini kwa makosa madogo lakini wewe na mauza uza yako ndani ya CDM hujajiuzulu wala "kutimuliwa"Huu ujasiriamali wa kiroho huu.
Kuna kanisa moja tu Katoliki la mitume.Ukiniuliza kwanini tembelea kanuni ya imani ambayo madhehebu yote yakikristu hukiri.Kwa maana nyingine hao wanaprotest agaist the church(Catholic) though kwenye kanunu zao za imani wanasadiki kwa kanisa Katoliko(Catholic)kwa maneno.
Badala ya kutumia
KANISA LAMUANDALIA TUZO LOWASSA
ungetumia
DHEHEBU LA OVERCOMES LAMUANDLIA TUZO LOWASSA
ili kuondoa utata kwamba tuzo hiyo ni ya kanisa kwa maana ya wakristo wote.