Kanisa la wala nyasi, wengi wataka kujiunga

Kanisa la wala nyasi, wengi wataka kujiunga

Lkn kwanini mambo haya ya ajabu ajabu huwa yanatokea sana kwenye hii imani ya KIVATIKANI?

Hawa wasanii wanatakiwa wajipange upya!
Imani yao imegeuka vioja!

Kuna kanisa lingine Virginia US. Waumini wanaingia Kanisani UCHI!
Yaani kuanzia PADRI mpaka Mchangisha Sadaka wote wako KOMANDOO!

tah ha ha ha ha!

Balaa !!!!!
 
Kula MAVI mbona wameshakula WATU kwa sana tu?

We huna habari ndani ya Bibilia Wakristo wameambiwa ni lzm Wale MAVI makavu ya mwanaadamu!?

Au nikupe andiko?

Acha kukashifu imani za watu wengine.
Kama imani yako ni nzuri sana, basi kaa nayo hiyo, wala hakuna mtu atakuuliza.
Kama unaona imani yako nzuri sana, basi hubiri uzuri wa imani yako, na sio kukashifu imani nyingine.

Moderators nao kama kawaida yao wapo tu 'wanashangilia' na 'kushabikia' kashfa kama hizi.
Jamii Furums ndio inapokwenda huko.
 
Mkuu bill cosby sadakta na chonde chonde nipe andiko ingekuwa watoto au machina ni sawa lakini mibaba mizima inadangayeka kwa upuzii huu ni vichekesho
 
Ndio mkuu njiwa Kanisa zuri sana hilo lina waumini wengi nchini Afrika kusini. Ibada hiyo hapo nyumbani bado haijafika.
Mkuu wanatumia andiko gani kusimamia ulaji wa majani???? Binafsi nadhani hili kanisa ni la hatari zaidi. Yaani sio kanisa Zuri.
 
Utumbo mdogo wa hawa jamaa unauwezo wa ku digest cellulose ya cell wall kweli?
 
Halafu mimi nashindwa kuelewa mtu ktk msimamo wako, mtu mzima hasa, pengine umesomaa au hata hujasoma ila unajitambua unakubali kubadili......Wewe umezaliwa ktk Dini maybe Roman Catholic unaacha kwenda kanisa hili unaenda kwa Dr. Getrude, Au umezaliwa Ukiwa Lutheran unaenda ktk kanisa jipya ambalo ni la leo, au Muslim unabadili unakuwa Christian...Why usiwe na msimamo? Ulivyomdhaifu ktk nafsi yako ndipo Shetani na manabii wa uongo watakavyocheza na nafsi yako...
Simama pale ulipo, Umezaliwa hivyo, tenda mema hakuna dini inayoamrisha uovu, Mungu mwenyewe siku ya siku atajua akupe mema gani sababu ndiyo dini uliyozaliwa nayo...Acha kutangatanga ewe binadamu, Katika maandiko tulishaambiwa Manabii wa uongo watakuja, je unamjua huyo nabii wa uongo atakuwa nani?

Kutanga tanga huko kutakusababisha uangukie kwa manabii hawa

Best umeongea kwa hisia kali sana
 
mbona wanawake ni wengi sana hapo kwenye picha kuliko wanaume?

Mapi, makanisa yote yale ya zamani na hata haya mapya siku zote wanawake huwa wengi zaidi kuliko wanaume. Hata katika kupiga kura hali ni hiyo hiyo pia. Nadhani wanawake wake serious zaidi kuliko wanaume.
 
Halafu mimi nashindwa kuelewa mtu ktk msimamo wako, mtu mzima hasa, pengine umesomaa au hata hujasoma ila unajitambua unakubali kubadili......Wewe umezaliwa ktk Dini maybe Roman Catholic unaacha kwenda kanisa hili unaenda kwa Dr. Getrude, Au umezaliwa Ukiwa Lutheran unaenda ktk kanisa jipya ambalo ni la leo, au Muslim unabadili unakuwa Christian...Why usiwe na msimamo? Ulivyomdhaifu ktk nafsi yako ndipo Shetani na manabii wa uongo watakavyocheza na nafsi yako...
Simama pale ulipo, Umezaliwa hivyo, tenda mema hakuna dini inayoamrisha uovu, Mungu mwenyewe siku ya siku atajua akupe mema gani sababu ndiyo dini uliyozaliwa nayo...Acha kutangatanga ewe binadamu, Katika maandiko tulishaambiwa Manabii wa uongo watakuja, je unamjua huyo nabii wa uongo atakuwa nani?

Kutanga tanga huko kutakusababisha uangukie kwa manabii hawa
Kwani hiyo Roman inauhusiano gani na wewe Mtazania, kuabudu Roman ndio kuwa na akili? Bado ni walewale tu. Tumia akili kujua dini ya kweli, zipo dini wanaabudu ng'mbe, moto na wengine wanamuabudu binamu mwenzao, sasa ndio ubakie kenye dini kama hizo kwakuwa umezaliwa ktk dini hizo? Tumia akili ujue dini ya kweli na Mungu wa kweli vyenginevyo utalishwa nyasi na wajanja.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Mapi, makanisa yote yale ya zamani na hata haya mapya siku zote wanawake huwa wengi zaidi kuliko wanaume. Hata katika kupiga kura hali ni hiyo hiyo pia. Nadhani wanawake wake serious zaidi kuliko wanaume.

nilikuwa sijui hili
 
Duh..me nlijua wanakula cha arusha!Kumbe ukoka?????
 
Back
Top Bottom