Kanisa la wala nyasi, wengi wataka kujiunga

Kanisa la wala nyasi, wengi wataka kujiunga

Halafu mimi nashindwa kuelewa mtu ktk msimamo wako, mtu mzima hasa, pengine umesomaa au hata hujasoma ila unajitambua unakubali kubadili......Wewe umezaliwa ktk Dini maybe Roman Catholic unaacha kwenda kanisa hili unaenda kwa Dr. Getrude, Au umezaliwa Ukiwa Lutheran unaenda ktk kanisa jipya ambalo ni la leo, au Muslim unabadili unakuwa Christian...Why usiwe na msimamo? Ulivyomdhaifu ktk nafsi yako ndipo Shetani na manabii wa uongo watakavyocheza na nafsi yako...
Simama pale ulipo, Umezaliwa hivyo, tenda mema hakuna dini inayoamrisha uovu, Mungu mwenyewe siku ya siku atajua akupe mema gani sababu ndiyo dini uliyozaliwa nayo...Acha kutangatanga ewe binadamu, Katika maandiko tulishaambiwa Manabii wa uongo watakuja, je unamjua huyo nabii wa uongo atakuwa nani?

Kutanga tanga huko kutakusababisha uangukie kwa manabii hawa
ndio maana mpaka leo mimi ni mpogoro tu maana ndicho nilichokikuta kiasili toka kwa bibi na babu zangu.kwa haya mambo bora nikachomwe moto.
 
Asiyejua maana haambiwi maana na itakuja siku nayo tutasikia kuna dini mpya hiyo nao ni ya kula mavi na tena nimesikia kuna dini mpya hiyo ni ya kuabudu kwake ni uchi kama tulivozaliwa na hii naona bado kufika na itafika tu kidogo kigogo au wana pima upepo wa wabongo uko vipi
hiyo ya uchi naisubiri mkuu ila nasikia wanga walishaanza siku nyingi.
 
Wapi Wagalatia wameagizwa wale majani kama ng'ombe!?

Wagalatia wanachoambiwa na WACHUNGAJI na MAPADRI wao wanafuata tu!
Na atakaejaribu kupinga anaambiwa Ashindwe kwa jina la yesu.

Ndio maana mnaitwa KONDOO mkuu!

Hivi wewe umeshawahi kujiuliza kwanini WAKRISTO wakaitwa KONDOO na sio Ng'ombe au mbuzi?

Hao wote ni wanyama wa Kufuga lkn mnyama pekee anaefuata bila KUDADISI ni KONDOO!

Yaani ni mnyama Mbumbumbu vibaya mno!
Ndio maana hata maumbile yake yamekaa kizembe zembe tu.

Amkeni jamani.
Mauti hayako mbali.
 
Asiyejua maana haambiwi maana na itakuja siku nayo tutasikia kuna dini mpya hiyo nao ni ya kula mavi na tena nimesikia kuna dini mpya hiyo ni ya kuabudu kwake ni uchi kama tulivozaliwa na hii naona bado kufika na itafika tu kidogo kigogo au wana pima upepo wa wabongo uko vipi

Mkuu hio mbona tayati ipo!

Na ni moja ya branch ya UKRISTO

Yaani kuna kanisa hapo Virginia USA waumini wote LAZIMA Wavue NGUO ZOTE kabla ya kuingia KANISANI.

Na Padri pia MTALIMBO uko nje kabisa.

Yaani balaa hawa watu.

Hebu TAZAMA HAPA UONE MWENYEWE LAANA YA HAWA WATU!

Watch "THE NAKED TRUTH NUDE CHURCH IN VIRGINIA (LotsO…" on YouTube - THE NAKED TRUTH NUDE CHURCH IN VIRGINIA (LotsO…: http://youtu.be/W_PJ4h-oeI8

Hapo kina Ishmael Nkwesa Makambo mgen Kakende Remote wanaingia na mama zao wazazi kuabudu mzungu.

Ukafiri mzigo.
 
Last edited by a moderator:
Msiba huu HAPA:

SHETANI NI MUSLAMU

Ni bahati mbaya kwamba Adamu na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu… (KITABU CHA ASILI YA MAJINIUK 20)


Sasa Ikiwa shetani ni muislamu, na sisi tunajua kuwashetani yeye ndiye adui yetu namba moja ambaye sisi hatupaswikushirikiana nae,


Yakobo4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, nae atawakimbia.
Sasa iweje tena tumfuate shetani katika uislamu? Kwa kuwa shetani ambayealiwadanganya Adamu na Hawa ni muislamu, sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki Uislamu.
 
Huyu mchungaji si ndiye anadai anabadili petrol kuwa juice

Ndio mkuu njiwa Kanisa zuri sana hilo lina waumini wengi nchini Afrika kusini. Ibada hiyo hapo nyumbani bado haijafika.

Ha ha ha sijui Ishmael, atakuja na propaganda gani kuhusu hili!
WAISLAM WAMERUHUSIWA KULA MIZOGA NA DAMU NA NYAMA YA NGURUWE
====================================================
Surah Al Baqara 173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Mzoga na damu na nyama ya Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.









10712740_651986301587596_7184542520872036225_n.jpg
 
Kuna imani za dini nyingine lazima ujitoe akili

Kweli kabisa mkuu.Cha kufanya ni kuthibitisha contents zilizomo kwenye majani hayo maana isije ikawa yanarutubishwa kwa maji chemicals hatari kwa afya ya waumini.
Tusipofnya hivyo ipo siku wenye imani za rastafariani nao wataoneshwa jinsi wanavyotukuza na kuabudu misingi yao
 
Huyu mchungaji si ndiye anadai anabadili petrol kuwa juice

Ndio mkuu njiwa Kanisa zuri sana hilo lina waumini wengi nchini Afrika kusini. Ibada hiyo hapo nyumbani bado haijafika.

attachment.php



BAADHI ya wananchi jijini Dar wamejitokeza na kuomba kujiunga na kanisa ambalo waumini wake wanakula nyasi.





Waumini wakila nyasi.
​
Kanisa hilo ambalo makao yake makuu ni Afrika Kusini linaloitwa Rabboni Centre Ministries gazeti hili liliandika katika toleo lake lililopita kuwa limeingia nchini na lipo maeneo ya Upanga jijini Dar.
Baadhi ya wananchi waliozungumza na gazeti hili mara baada ya kusoma habari hiyo walisema wanatamani kujiunga.
“Mimi nataka kujiunga na kanisa hilo kwa sababu tunataka wokovu,” alisema mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja tu la Amos.



Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Frida Mandade alisema ana hamu ya kujiunga na kanisa hilo kwa sababu zake binafsi.

Kanisa la Rabboni Centre Ministries lina makao yake makuu Pretoria nchini Afrika Kusini na linaongozwa na mtu anayejiita Mchungaji na Nabii Daniel Lesego ambaye alilianisha mwaka 2002.



Wakati wa mfungo waumini wa kanisa hilo wametajwa kuwa huwa wanaishia kula majani yaliyopo nje ya kanisa hilo kwa imani kuwa Roho Mtakatifu huongoza mtu kula chochote manyasi hayo ni chakula kutoka mbinguni. chanzo.GPL
0.jpg

EDLcamelp.jpg


do.php
 
Back
Top Bottom