Kanisa la wala nyasi, wengi wataka kujiunga

Kanisa la wala nyasi, wengi wataka kujiunga

Huyu mchungaji si ndiye anadai anabadili petrol kuwa juice

Ndio mkuu njiwa Kanisa zuri sana hilo lina waumini wengi nchini Afrika kusini. Ibada hiyo hapo nyumbani bado haijafika.

Wagalatia wanachoambiwa na WACHUNGAJI na MAPADRI wao wanafuata tu!
Na atakaejaribu kupinga anaambiwa Ashindwe kwa jina la yesu.

Ndio maana mnaitwa KONDOO mkuu!

Hivi wewe umeshawahi kujiuliza kwanini WAKRISTO wakaitwa KONDOO na sio Ng'ombe au mbuzi?

Hao wote ni wanyama wa Kufuga lkn mnyama pekee anaefuata bila KUDADISI ni KONDOO!

Yaani ni mnyama Mbumbumbu vibaya mno!
Ndio maana hata maumbile yake yamekaa kizembe zembe tu.

Amkeni jamani.
Mauti hayako mbali.
camel_piss.jpg
 
Halafu mimi nashindwa kuelewa mtu ktk msimamo wako, mtu mzima hasa, pengine umesomaa au hata hujasoma ila unajitambua unakubali kubadili......Wewe umezaliwa ktk Dini maybe Roman Catholic unaacha kwenda kanisa hili unaenda kwa Dr. Getrude, Au umezaliwa Ukiwa Lutheran unaenda ktk kanisa jipya ambalo ni la leo, au Muslim unabadili unakuwa Christian...Why usiwe na msimamo? Ulivyomdhaifu ktk nafsi yako ndipo Shetani na manabii wa uongo watakavyocheza na nafsi yako...
Simama pale ulipo, Umezaliwa hivyo, tenda mema hakuna dini inayoamrisha uovu, Mungu mwenyewe siku ya siku atajua akupe mema gani sababu ndiyo dini uliyozaliwa nayo...Acha kutangatanga ewe binadamu, Katika maandiko tulishaambiwa Manabii wa uongo watakuja, je unamjua huyo nabii wa uongo atakuwa nani?

Kutanga tanga huko kutakusababisha uangukie kwa manabii hawa

Wachungaji wanasubiri minofu tuuu Tehtehteh
10157180_538597522926475_1143761915_n.jpg
 
Halafu mimi nashindwa kuelewa mtu ktk msimamo wako, mtu mzima hasa, pengine umesomaa au hata hujasoma ila unajitambua unakubali kubadili......Wewe umezaliwa ktk Dini maybe Roman Catholic unaacha kwenda kanisa hili unaenda kwa Dr. Getrude, Au umezaliwa Ukiwa Lutheran unaenda ktk kanisa jipya ambalo ni la leo, au Muslim unabadili unakuwa Christian...Why usiwe na msimamo? Ulivyomdhaifu ktk nafsi yako ndipo Shetani na manabii wa uongo watakavyocheza na nafsi yako...
Simama pale ulipo, Umezaliwa hivyo, tenda mema hakuna dini inayoamrisha uovu, Mungu mwenyewe siku ya siku atajua akupe mema gani sababu ndiyo dini uliyozaliwa nayo...Acha kutangatanga ewe binadamu, Katika maandiko tulishaambiwa Manabii wa uongo watakuja, je unamjua huyo nabii wa uongo atakuwa nani?

Kutanga tanga huko kutakusababisha uangukie kwa manabii hawa

Hawato gusa hapa.
10171772_10205214627949376_9208320370543470698_n.jpg
 


Nyie mnaweka Cartoons mi nakupeni FACT!


Mchungaji wa Kanisa afumaniwa na mke wa mtu

http://3.bp.blogspot.com/-yHHdA5slMHM/UluOU1lzzcI/AAAAAAAAOgE/ohF-3LXEAEk/s280/mchungaji.png

http://gospelvisiontz.blogspot.co.uk/2014/03/mchungaji-wa-kanisa-la-anglikana-gongo.html?m=1

MCHUNGAJI SHOGA ABAMBWA LAIVU AKIFANYA MAPENZI YA JINSIA MOJA

http://2.bp.blogspot.com/-G59qfm5QV7M/UdbEDTZKKJI/AAAAAAAAATQ/NOnAoKqZf20/s280/gay-pastor.jpg

Philip Ogbebor, a local church pastor who was arrested on Wednesday in Edo State for allegedly having sex with a 20-year-old male church member has claims innocence.

According to report from Edo State Police command, one of his church members reported him to the police for taking advantage of him by having carnal knowledge of him and forcing him to enter into a covenant never to reveal the secret to anyone.

The victim whose name has not been revealed narrates his ordeal saying;

I told him i have never done this since i grew up, but he insisted. It was painful and i told him i will not allow it again. So after the second attempt, i told him i will expose the act. He then administered an oath on me, saying if i ever told anyone, i will die.

He carried sand and olive oil and poured them on my head, then he wore black garment, saying i will die if i ever leak the secret. He killed a black fowl and gave me the liver an gizzard to eat at about 2.am, threatening that if i ever said it out, i will die like the fowl.

But when i realized that it is a sin, i met a man of God to pray for me that God should forgive me and that i am ready to expose it since he forced me. There after i went to the church and told the congregation about the act. When he heard it, he threatened me by sending his younger brother and members of his gang after me. Since then, i have been running.

UKIRISTO na ULIBERALI haviachani kabisa.
 
attachment.php



BAADHI ya wananchi jijini Dar wamejitokeza na kuomba kujiunga na kanisa ambalo waumini wake wanakula nyasi.



attachment.php


Waumini wakila nyasi.
​
Kanisa hilo ambalo makao yake makuu ni Afrika Kusini linaloitwa Rabboni Centre Ministries gazeti hili liliandika katika toleo lake lililopita kuwa limeingia nchini na lipo maeneo ya Upanga jijini Dar.
Baadhi ya wananchi waliozungumza na gazeti hili mara baada ya kusoma habari hiyo walisema wanatamani kujiunga.
“Mimi nataka kujiunga na kanisa hilo kwa sababu tunataka wokovu,” alisema mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja tu la Amos.

attachment.php


Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Frida Mandade alisema ana hamu ya kujiunga na kanisa hilo kwa sababu zake binafsi.

Kanisa la Rabboni Centre Ministries lina makao yake makuu Pretoria nchini Afrika Kusini na linaongozwa na mtu anayejiita Mchungaji na Nabii Daniel Lesego ambaye alilianisha mwaka 2002.

attachment.php


Wakati wa mfungo waumini wa kanisa hilo wametajwa kuwa huwa wanaishia kula majani yaliyopo nje ya kanisa hilo kwa imani kuwa Roho Mtakatifu huongoza mtu kula chochote manyasi hayo ni chakula kutoka mbinguni. chanzo.GPL
MziziMkavu kwani dini zinaendelea kuzaliwa tu. Hizo zote Mungu wake huyo mmoja au zina waungu wapya?
 
Hawato gusa hapa.
Mkojo wa ngamia ni dawa Mkuu Ishmael na mkojo wako pia ni Dawa na mkojo wa Ng'ombe pia ni dawa kwa kutibu Maradhi mbali mbali. Soma hapa katika Biblia yako.

Mithali 5:15 15 Unywe maji ya birika lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.
 
Msiba huu HAPA:

SHETANI NI MUSLAMU

Ni bahati mbaya kwamba Adamu na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu… (KITABU CHA ASILI YA MAJINIUK 20)


Sasa Ikiwa shetani ni muislamu, na sisi tunajua kuwashetani yeye ndiye adui yetu namba moja ambaye sisi hatupaswikushirikiana nae,


Yakobo4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, nae atawakimbia.
Sasa iweje tena tumfuate shetani katika uislamu? Kwa kuwa shetani ambayealiwadanganya Adamu na Hawa ni muislamu, sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki Uislamu.
Wewe umekuja kunichafulia Thread kama huwezi ku Comment bora unyamaze kimya kwanini unawatukana Waislam kuwa ni Mashetani? Basi wewe ndio utakuwa ni shetani tafadhali kama huna maneno ya kuzungumza bora unyamaze usiniharibie Thread yangu tafadhali sana mkuu Ishmael Jaribu kujiheshimu na kuheshimu dini za Wenzako.
 
WAISLAM WAMERUHUSIWA KULA MIZOGA NA DAMU NA NYAMA YA NGURUWE
====================================================
Surah Al Baqara 173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Mzoga na damu na nyama ya Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.









10712740_651986301587596_7184542520872036225_n.jpg
Wewe ichezee Quran utapata laana na sema na ukafiri wako tu shauri yako mwenyewe.
 
Wewe umekuja kunichafulia Thread kama huwezi ku Comment bora unyamaze kimya kwanini unawatukana Waislam kuwa ni Mashetani? Basi wewe ndio utakuwa ni shetani tafadhali kama huna maneno ya kuzungumza bora unyamaze usiniharibie Thread yangu tafadhali sana mkuu Ishmael Jaribu kujiheshimu na kuheshimu dini za Wenzako.
Aisee, mimi sikujua kuwa Vitabu vyenu ni uchafu na viatibua hali ya hewa.

Sasa kwanini usifuate imani yenye vitabu ambavyo havitibui hali ya hewa?
 
Mkojo wa ngamia ni dawa Mkuu Ishmael na mkojo wako pia ni Dawa na mkojo wa Ng'ombe pia ni dawa kwa kutibu Maradhi mbali mbali. Soma hapa katika Biblia yako.

Mithali 5:15 15 Unywe maji ya birika lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.
Hivi Mkojo ni maji?
 
Wewe ichezee Quran utapata laana na sema na ukafiri wako tu shauri yako mwenyewe.
Maalim, maneno na maagiza ya Allah yamekamilika na hayana shaka ndani yake. Nyie sasa kula ile kitu ni halal kwenu.
 
Hivi Mkojo ni maji?
Kwani Mkojo ni nini kama Sio maji yatokayo mwilini mwako? au mkojo ni matope? Ulitaka Biblia iseme kunyweni mkojo wenu Wewe.@ Ulitaka Biblia iseme wazi wazi kunyweni mkojo wenu?

Mithali 5:15 15 Unywe maji ya birika lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.

The Bible

Some advocates[SUP][who?][/SUP] believe that the Bible recommends urine therapy. A verse in Proverbs (Proverbs 5:15) advises: "Drink waters from thy own cistern, flowing water from thy own well."[SUP][9][/SUP]

However, subsequent verses contain warnings against adultery, and advice for husbands to stay

faithful; hence the interpretation of this verse as a literary device or analogy.

source.
http://en.wikipedia.org/wiki/Urine_therapy
 
Back
Top Bottom