Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,018
Jifunze kusoma Biblia katika context yake na sio kuongeza mivitu ambayo haipo kwenye aya. Sasa wapi kwenye hiyo aya pana neno na au jina "Mkojo"?Kwani Mkojo ni nini kama Sio maji yatokayo mwilini mwako? au mkojo ni matope? Ulitaka Biblia iseme kunyweni mkojo wenu iseme wazi wazi Biblia ulitaka?
Mithali 5:15 15 Unywe maji ya birika lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.
The Bible
Some advocates[SUP][who?][/SUP] believe that the Bible recommends urine therapy. A verse in Proverbs (Proverbs 5:15) advises: "Drink waters from thy own cistern, flowing water from thy own well."[SUP][9][/SUP]
However, subsequent verses contain warnings against adultery, and advice for husbands to stay
faithful; hence the interpretation of this verse as a literary device or analogy.
source.http://en.wikipedia.org/wiki/Urine_therapy
Last edited by a moderator:
