LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 27,014
- 41,653
amina nduguMsingi wa kanisa ni Yesu Kristo, siyo mchungaji!
amina nduguMsingi wa kanisa ni Yesu Kristo, siyo mchungaji!
Kwa kalumanzilaUnataka miujiza?nenda kwa karumanzila.
MuongoSasahivi maombi hayaruhusiwi kama zamani labda yawe ya kumuombea M/kiti wa CCM tu.
unafikiri hiyo diploma itamfanya mchungaji kuhubiri injili iliyo hai ya Yesu Kristo au ni abrakadabra na mbwembwe za kidunia tu kutawala waumini kisaikolojia?Wewe utakuwa unaongelea TAG ya "Kolomije"!
Minimum qualification kwa wachungaji wa TAG ya leo ni Diploma ya miaka 3!
Zinduka usingizini...
Mwaka mpya mheshimiwa alienda kuabudu kwenye kanisa la Roman Catholic pale Singida mjini mkuu, nina uhakika na hilo. Tena ni kama alifanya ziara ya kushtukiza pale chechi ndipo alipomwambia yule baba askofu hayo manenoBukoba sio Singinda Mkuu
Mkuu tusiombee mabaya kwa makanisa lakini pia unachokisema kina maana. Ila Kulola kafa EAGT ipo so akifa kakobe FGBF itakuwepo au akifa Gwajima Ufufuo litaendelea au hata yakisambaratika bado YESU yupo na atahubiriwa tuu.Hamna kitu hapo...!!!
Kama huamini maneno yangu subiri Gwajima au Kakobe watangulie mbele za haki uone kama hivyo vikundi utavisikia....!!
unaijua vizuri historia ya ukristo duniani ? Mambo ya kiroho ni magumu kueleweka kwa kwa kila mtu.Ni mpaka upate ufunuo toka kwa Mungu.Fahamu mwanzo na mwisho wa kanisa katoliki ndiyo ujue umaarufu wakeSiamini kama kazi ya kanisa ni kutafuta sifa na kujulikana hapana, kazi ya kanisa ni kufundisha kweli za Kimungu ili binadamu aokolewe mwili na roho. Kati ya kanisa maalufu sana duniani ni kanisa katoliki lakini hakuna wakati wowote lilipowahi kujitafuta kwa kutukana au kudhalilisha wengine. Hivyohivyo TAG huenda wameona mambo yameanza kwenda mlama miongoni mwao wakaamua wale waaminifu kufanya yawapasayo, kutokuwasikia mitaani sio kigezo cha kuwapima kwamba wako dhaifu au imara, kama wanafanya yale ya imani yao, let them keep it up.
Kwa kuongezea tuu zile tenzi za rohoni zilitungwa na wapentecoste miaka hiyo ya karne ya 16 , 18 ukisema makanisa ya Pentecoste ni ya juzi ntamshangaa mtu huyo.Ya Kale kwa maana ya "Classical Pentecostalism". Hayo makanisa niliyoorodhesha yapo kwa zaidi ya miaka 70. Tatizo lenu mnadhani kila ansyehubiri uponyaji na Roho Mtakatifu ana " practice classical Pentecostalism".. Nimekuorodheshea hayo makanisa kufanya utafiti wako utaona tofauti kubwa na makanisa hayo mbadala.
Nimependa ulivyoandika be blessed...however makanisa ya kipentekoste mjirekebishe hivi hamuoni hata RC wameanza kuweka regulation za mavazi milangoniSijui mtoa uzi anatumia kipimo gani na kuona kuwa kanisa la TAG limepoa. Hakuna hata kimoja kilichokuwepo miaka ya nyuma ambacho kimepotea au kupungua. Kinyume chake kila eneo la ukristo wa kweli limeonyesha kukua. Washirika wengi makanisani wameokoka na ndiyo sifa mama ya kuwa mshirika wa kanisa. Wengi zaidi wamejazwa na Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha kuliko zamani. Wahubiri leo ni wengi zaidi kuliko mwanzo ambapo ni wachache tu waliokuwa wanahubiri. Kuna wainilisti wa kitaifa wengi zaidi leo kuliko zamani. Miujiza kanisani ndio mahali pake na hufanyika kila ibada. Tatizo tu ni kwamba kanisa halina Tv yake, kwa hiyo yanayofanyika huko huwa hayafahamiki kwa kasi na watu walio nje. Wagonjwa bado wanaombewa na kupona na ni kitu cha kawaida sana. Kanisa limekua sana. Ila kama unahitaji kuona mbwembwe kama za "mitume na manabii" hapo utasubiri sana. Kanisa la TAG halifanyi huduma kama maonyesho, huduma hufanyika kwa staha ya hali ya juu na kuzingatia maadili kwa hali ya juu. Hutasikia habari ya mafuta ya upako, wala maji ya upako wala chochote kinachofanana na hayo. Ila NENO huhubiriwa na kufundishwa kikamilifu na Roho Mtakatifu hulithibitisha kwa ishara na miujiza. Karibu katika kanisa lolote la TAG kwa msaada na ushauri zaidi. Lakini mwisho, unatakiwa uokoke binafsi ili uwe tayari kumlaki Yesu mara arudipo mawinguni. Mungu akubariki, binafsi nimeokoka na ninampenda sana Yesu. Nimeamua kuachana na dhambi. Ya kale yamepita, tazama yote yamekuwa mapya. Na wewe unaweza kuachana na maisha ya dhambi na haujachelewa bado.
Wazazi wengine wapo na wameamua kuwa silent tuu na ushetani ulioingia kanisani. Mfano nilishahudhuria harusi ya kijana wa mzee wa kanisa wa zamani maarufu la TAG TEMEKE( hili ni moja la knsa lenye historia ya pekee kama uko TAG unaweza jua watu wake walikuwaje kuhusu injili) mzee huyo wa knsa ambae alifanya kazi kubwa sana ktk injili miaka hiyo na kuanzisha makanisa mengi MF TAG MSASANI few to mention lakini sikuamini mama amechukuliwa na mambo ya kisasa kama ulimjua miaka ile ya zamani lazima utasikitikaNi kweli uliloongea, uchaji wa Mungu umepungua miongoni mwa waumini jambo linalofanya yule roho mtakatifu kutofanya kazi kama mwanzo. Kingine sio TAG tu Bali kuna EAGT ambalo ni tawi la TAG lilitokea baada ya kugombana Askofu Lazaro na Marehemu Askofu Moses Kulola. Miaka ya 80's na 90's yalipata umaarufu na kuenea kwa kasi huku wakivuna waumini wengi kutoka madhehebu walioyaita wasioamini katika wokovu, ubatizo wa maji mengi na vipawa vya roho mtakatifu.
Sababu za kuporomoka ni hizi, wazazi waliokoka kweli lakini watoto waliozaliwa kwenye hayo makanisa ni waumini tu sio wamekata ushauri,jingine ni ministries zilizoanza zinavuna waumini sana kutoka hayo makanisa na bahati mbaya watu wanakimbilia muujiza wa mafanikio wa maisha na sio kuimarika kiroho, wachungaji wao baadhi wameingia katika kupenda fedha kuliko kufundisha neno la Mungu
Kwanza nikupongeze kwa kuileta mada hii hata hivyo niseme tu kwamba wewe hauabudu huko TAG hivyo basi hata ufahamu wako kuhusu TAG inavyojiendesha si mpana kivile. Niseme tu kwamba TAG ilianza kuyumba wakati ule wa mgogoro kati ya Askofu Lazaro na Mwinjilisti Moses kulola (Hayati) ambao hatimaye uliamuliwa na mahakama na kufanya TAG igawanyike kuzaa EAGT iliyokuwa chini ya Moses kulola. Kwa bahati mbaya sana TAG wameendeleza na ule ugomvi hadi leo kwa kuendelea kuwaita EAGT waasi (Roho mtakatifu hawezi kufanya kazi mahali pasipo na msamaha wa kweli). Jambo moja lipo wazi kwamba TAG wamekosa mbadala wa Moses kulola wa kusimamia ile idara ya uinjilisti kitaifa ingawa baadhi ya nyakati wamekuwa wakifanya kazi na Egon Folk na kumwalika Rev Reinhard Bonkey na Daniel Kolenda (wa Christ for all Nations) mwaka jana. Nadhani pia pia uendeshwaji wa TAG (Central Administration) ni changamoto ambapo kama sikosei watumishi/huduma wanawezeshwa kimaisha na Headquarter bila kujali idadi ya washirika mtumishi anaosimamia LAKINI pia Wachungaji wengi umri umesogea sana na hivyo kushindwa kuendana (Mahubiri + Ushuhudiaji) na hali ya kizazi cha sasa.
NB: Nipo tayari kukosolewa
Ugomvi wao kulola na Lazaro ulishasuluhishwa na Kakobe kabla kulola hajafa kama waumini wanavinyongo hizo ni dhambi zao Kuwa na wachungaji wazee hakuna shida kabisaa kumbuka unamkumbuka kulola ambae mpaka uzee wake anahubiri dhambi nafkiri umri si kigezo.
Kwanza nikupongeze kwa kuileta mada hii hata hivyo niseme tu kwamba wewe hauabudu huko TAG hivyo basi hata ufahamu wako kuhusu TAG inavyojiendesha si mpana kivile. Niseme tu kwamba TAG ilianza kuyumba wakati ule wa mgogoro kati ya Askofu Lazaro na Mwinjilisti Moses kulola (Hayati) ambao hatimaye uliamuliwa na mahakama na kufanya TAG igawanyike kuzaa EAGT iliyokuwa chini ya Moses kulola. Kwa bahati mbaya sana TAG wameendeleza na ule ugomvi hadi leo kwa kuendelea kuwaita EAGT waasi (Roho mtakatifu hawezi kufanya kazi mahali pasipo na msamaha wa kweli). Jambo moja lipo wazi kwamba TAG wamekosa mbadala wa Moses kulola wa kusimamia ile idara ya uinjilisti kitaifa ingawa baadhi ya nyakati wamekuwa wakifanya kazi na Egon Folk na kumwalika Rev Reinhard Bonkey na Daniel Kolenda (wa Christ for all Nations) mwaka jana. Nadhani pia pia uendeshwaji wa TAG (Central Administration) ni changamoto ambapo kama sikosei watumishi/huduma wanawezeshwa kimaisha na Headquarter bila kujali idadi ya washirika mtumishi anaosimamia LAKINI pia Wachungaji wengi umri umesogea sana na hivyo kushindwa kuendana (Mahubiri + Ushuhudiaji) na hali ya kizazi cha sasa.
NB: Nipo tayari kukosolewa
wanakufa watu kanisa halifi linaishi mpaka unyakuo.Usitishike na majina ya taasisi za dini.Mkuu tusiombee mabaya kwa makanisa lakini pia unachokisema kina maana. Ila Kulola kafa EAGT ipo so akifa kakobe FGBF itakuwepo au akifa Gwajima Ufufuo litaendelea au hata yakisambaratika bado YESU yupo na atahubiriwa tuu.
Kakobe yupo mwenge pale karibu na mpimani cityWale akina kakobe wako wapi
Cha msingi hapa ni kutojivunia majina ya taasisi za kidini.Kikubwa ni kuijua imani halisi ya Yesu Kristo.Hayo majina hubadilika muda wowote. Kanisa halibadiliki Lina watu wengi kila MahaliKwa kuongezea tuu zile tenzi za rohoni zilitungwa na wapentecoste miaka hiyo ya karne ya 16 , 18 ukisema makanisa ya Pentecoste ni ya juzi ntamshangaa mtu huyo.
Hata hapa Tanzania huduma binafsi kama za kulola EAGT Kakobe FGBF zina karibia 30 yrs lakini kama hujafatilia unaweza sema ni za juzi tuu kama za hawa mitume wa mafuta na chumvi
Alikabidhiwa mali binafsi zile za wakfu zilienda ktk kusaidia injili amabzo ni nyingi tuu. Aliacha familia kubwa sana so lazima Mali binafsi kama mashamba yawe na msimamizi yatunze familia hasa mkeweMali za Kulola tena ama mali za kanisa? Dah!
huwezi kumzuwia mshirika mchanga kuingia kanisani alivyo.Akikua kiroho ataacha kuvaa kihuniNimependa ulivyoandika be blessed...however makanisa ya kipentekoste mjirekebishe hivi hamuoni hata RC wameanza kuweka regulation za mavazi milangoni
Kakobe yupo na juzi tuu alikuwa ana conduct semina pale kanisani kwakeFGBF yake ipo inaendelea ila kakobe ni muda sasa hayupo nchini.Yule aliishakuwa mhubiri wa kimataifa yuko nje ya nchi anahudumu huko
mkuu watu hubadilika kiimani baada ya kuuzowea vibaya wokovu.Watapataje kupona wasipoujali wokovu mkuu namna hii?Wazazi wengine wapo na wameamua kuwa silent tuu na ushetani ulioingia kanisani. Mfano nilishahudhuria harusi ya kijana wa mzee wa kanisa wa zamani maarufu la TAG TEMEKE( hili ni moja la knsa lenye historia ya pekee kama uko TAG unaweza jua watu wake walikuwaje kuhusu injili) mzee huyo wa knsa ambae alifanya kazi kubwa sana ktk injili miaka hiyo na kuanzisha makanisa mengi MF TAG MSASANI few to mention lakini sikuamini mama amechukuliwa na mambo ya kisasa kama ulimjua miaka ile ya zamani lazima utasikitika
uko sahihiTAG imepoa. Huu ndoo ukweli mchungu. Sababu kuu ni wazee wa kanisa kunyang'wanywa uwezo wa kupanga mipango ya kanisa na kujikuta rubber stamp ya Mchungaji. Wachungaji wengi kuwa na wivu kwa wa washirika wao pindi wanapoinuliwa. Kampeni chafu wakati wa kuwapata viongozi