Kanisa la TAG mbona kama limepoa?

Kanisa la TAG mbona kama limepoa?

Nenda church bwana
sikufichi madam nilivokuwa naenda nikajua kutakuwa na mabadiliko chanya kidogo kumbe ndo kwanza tunafosiana kutongoza na kulazimishana ndoa na mahubiri ya ovyo uku kwenye sifa watu wanacheza kama wapo club!!!umbeya,unafiki,uchoyo na ulafi wa sadaka ndo niliouona............nina miezi 10 sijakanyaga tena zaidi ya kusoma bible na kumuomba Mungu basi

labda kwenu uko hali ni shwari "....nilifurahi waliponiambia twende nyumbani kwa bwana....!!!!"
 
Mkuu kanisa la wapi hilo?
 
Uchaguzi mkuu TAG ni mwaka 2019. Cha kusikititisha tayari kampeni zimeanza. Askofu wa jimbo fulani la mwanza keshaanza kumpigia kampeni anayemtaka ili naye aje apewe cheo cha kitaifa. Kwa kweli inasikitisha sana kwa hapo TAG ilipofika
 
Hilo ndilo tatizo la makanisa yetu haya hasa EAGT na TAG. Nasikia askofu tayari wanamwandaa na hivi sasa yupo abroad kusoma
 
sikufichi madam nilivokuwa naenda nikajua kutakuwa na mabadiliko chanya kidogo kumbe ndo kwanza tunafosiana kutongoza na kulazimishana ndoa na mahubiri ya ovyo uku kwenye sifa watu wanacheza kama wapo club!!!umbeya,unafiki,uchoyo na ulafi wa sadaka ndo niliouona............nina miezi 10 sijakanyaga tena zaidi ya kusoma bible na kumuomba Mungu basi

labda kwenu uko hali ni shwari "....nilifurahi waliponiambia twende nyumbani kwa bwana....!!!!"
Badala ya kubaki nyumbani, nenda kanisa unaloona linakufaa. Si lazima kule ulikokuwa awali. Kukusanyika pia ni agizo la MUNGU. Hiyo hali yako ilishawahi kunikuta baadae nikajiona kama naelekea kupotea hivi spiritually
 
Kuna kitu inaitwa church politics. Imejaa sana siku hizi.. hatari sana.
 
Kwa mtazamo wa shetani hakuna kanisa lililo salama. Kila utakalolikosoa litakosoleka, shetani yupo hivyo anapenda kuonyesha kwamba wengine hawafai
 
Kaka kanisa hili la TAG mbona lipo vyema mpaka sasa tena linampango mkakati kabambe wa kuivuna Tanzania yote kwa Yesu mpango huo upewa jina la miaka 10 ya mavuno.Pia wametengeneza mpango wa kujenga vyuo vya kufundisha Theologia kila jimbo la makanisa yao.
Hakika wanafanya vyema zaidi ni kuwaombea ili wafanye vyema na wawe na uamsho wa kiroho katka nguvu kubwa.
Ni kanisa pekee la Kipendecost lenye mipango na maono makubwa ya kumtangaza Yesu likifatiwa na EAGT,FPTC,KLPT,P Holiness etc
NAkushauri uokoke na wewe ili urudishe huo moto uliopotea ambao Mungu amekuonyesha.
Barikiwa sana
kuokoka sio kwenda TAG
acha unafiki
 
TAG Haijapoa kama unavyo fikiria kila zama na ukurasa wake TAG bado wako vizuri kumbuka kila kitu hakijabadrika ila huwafuatilii labda
wengi wa wachangiaji hapa wanakubaliana na mimi na wametoa sababu tena nzito
Usiongee tu kwa vile upo huko
 
Mimi sio muumini wa TAG lakini nina uhakika hilo dhehebu halijapoa. Nimeingia kwenye makanisa yao kadhaa Wapo very smart hata katika ibada zao and perhaps it is the most smart pentecostal church in Tanzania! Hata Askofu mkuu wao tu ni Msomi wa PHD (Sio kama ya huyu mtukufu) na hata wasaidizi wake ni vichwa. Kwa hiyo mkuu halijapoa hilo chechi labda kwa awamu hii tu kwa sababu tunapitia kwenye jaribu zito wa Tanzania wote hasa financially, na mheshimiwa alishasema akiwa Singida pale siku ya mwaka mpya kuwa sadaka zita adimika hata makanisani!!!!
watu wenye miaka 30+ watakubaliana na mimi..sasa hivi hawana uenezi na injili yao imepoa.Ilikua nadra enzi hizo binti wa TAG aolewe na wengine au mtu ahame TAG..sasa hivi wamepoa sana
 
Habari za muda huu waungwana?
Natumai mnaendelea vizuri hasa baada ya mihangaiko ya siku.

Niende moja kwa moja kwenye mada niliyokusudia kuianzisha leo.

Kwa wale wakristo mtakua mpo aware zaidi kuhusu ukristo ulivyo na ulivyo hapa nchini.

Miaka ya nyuma kidogo ukristo ulikua imeenea zaidi kwa makanisa ya Romani Catholic, Lutheran na Pentecoste. Miaka ilivyokwenda zaidi ndipo tulipo shuhudia idadi kubwa ya makanisa hapa nchini.

Nakumbuka miaka ya 2000 kanisa la TAG lilianza kuja kwa kasi sana. Kufikia miaka ya '03-0'5 walikua wanasikika sana kutokana na makongamano makubwa na mahubiri yao.
Hawa watu walikua wanaponda sana makanisa mengine hususan wakatoliki.Hapa ndipo walipopata waumini wengi kutoka makanisa kongwe niliyotaja hapo juu kutokana na miujiza waliyokua wanafanya makanisani mwao kama kutoa pepo na kuombea wagonjwa just little to mention.

Walikua kwa kasi sana na hapa matajiri wengi pia walihamia huko wakajenga makanisa nchi nzima na kukua kwa kasi kutokana na styl yao mpya ya kuabudu na mahubiri.

Ilikua changamoto sana kuoa binti wa kilokole enzi hizo.Ilifika mahali mtu akitoka katoliki,lutheran au pentecoste akajiunga TAG alikua anatengwa na familia na ndugu na aliitwa muasi.Ikafika mahali kukawa na kama ka uadui fulani kati madhehebu hayo.
Enzi hizo karibu kila mlokole alikua anaweza kutoa pepo na kuongea zile lugha zao.

Miaka ilivyo anza kwenda sasa;taratiiibu ile power yao ya ku preach na kufanya miujiza ikaanza kupotea na kufifia.
Hivi sasa wameshazoeleka na wapo very normal sana.
Hivi sasa wana intergrate na wakristo wengine vizuri sana tofauti na zamani.

Maswali yangu:

1:Kwanini TAG wamepoa sana na hawapo hot kama zamani?
2:Je mi kwa sababu waumini wamesha jaa hivyo basi hawana nia ya ku expand zaidi?
3:Au ni utandawazi unachangia?

Karibuni kwa mawazo
Ni vita ya MASLAHI sio kuutafuta UZIMA wa milele tena. Sasa hivi kila kitu kwa NABII. Watu wanafuata "miujiza" tu na utatuzi wa matatizo yao. Tena wengi wa hao manabii wanatoka TAG huko huko.
 
Hii imeshakuwa dini ndg yangu kama dini nyingine yyt unayoijua! Mahubiri yao makubwa now ni kuponda makanisa mengine ya kipentecoste na kusisitiza hakuna nabii wala mtume ila ni Yesu tuu! Sasa najiuliza can you make the entire TZ become TAG members??? Falsafa yao ya kujiona bora kuliko wapentecoste wengine ndio kichefuchefu kikubwa haijalishi kuongezeka kiidadi mbona roman wako dunia nzima issue ni what au doing!
hahaaaa
kumbe wanajitangaza wao ni bora kuliko wengine?
 
Askofu wao mkuu ana PHD anaitwa Barnabas Mtokambali ingia google uwacheck hao watu.Pia wanachuo chao kinaitwa CENTRAL BIBLE COLLEGE kipo Dodoma kinatoa hadi level ya Masters elimu Bibilia na Theologia pia wanachuo kikubwa Lindi,Mbeya,Arusha na Mwanza na wanajenga kingine kikubwa pia Tabora na kingine kipo pale opposite na Blue Pearl Hotel Ubungo kinaitwa Global Harvest kinatoa hadi Masters pia wamejiafiliate na chuo kipo Marekani kinaitwa Globa University .No research no right to speak.
Sasa mkuu hayo uliyosema yanahusiana vipi na hali ya kupoa kwa kanisa!
Unaweza ukawa na mipango mingi tu ikiwa hakuna nguvu ya Mungu mtaishia kujenga taasisi za ulaji tu
 
Back
Top Bottom