Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,661
Kipindi kile walikuwa wanasaka wateja sasa wamewapata wanakula posho tu mission completed
Ubarikiwe mkuuTanzania Assemblies of God-T.A.G is even stronger than before:
1.Imekuwa na matawi nchi nzima, kila wilaya, kila kata.
2. T.A.G is the strongest Pentecostal denomination in the country. Askofu mkuu wa T.A.G ndiye Rais wa makanisa yote ya ki Assemblies ya Africa.
3.Ndiyo dhehebu pekee la kipentecost nchini lenye vyuo vya Biblia vinavyotoa diploma, degree hadi masters kwa kushirikiana na Global University ya USA
3.Ni dhehebu la kipentecost pekee nchini linalopeleka wamisionari nje ya Tanzania kama Rwanda, Burundi, Sudan kusini, DRC, na Magasca.
4.Linahubiri injili nchini kwa kasi zaidi kuliko huko nyuma.
Ukiangalia takwimu ya Nini T.A.G ilifanya huko nyuma na nini inafanya kwa sasa, na Neno linataka kanisa liweje utagundua kuwa ndiyo lina peak kwa viwango vikubwa.
Ya kale..""" ? Kale ya muda gani...??? Makanisa ya Kipentekoste yote ni juzi juzi tuu....Ni makanisa ambayo hayana msingi....akifa mchungaji na kanisa linaporomokaKipentekoste ya asili ya kale "orthodox" kama vile TAG, FPCT, EAGT, PEFA, Holiness, PAG, Elim, KLPT na
Hamna kitu hapo...!!!Makanisa ya watu binafsi nayoyakubali ni mawili tu, lile la Kakobe na la Gwajima hawa jamaa wanapinga sana watu wanao jiita mitume na manabii karne hii ya 21
Ya kale..""" ? Kale ya muda gani...??? Makanisa ya Kipentekoste yote ni juzi juzi tuu....Ni makanisa ambayo hayana msingi....akifa mchungaji na kanisa linaporomoka
Katunzi ni Mch.wa EAGT siyo TAG...Kwa ufahamu wangu haya makanisa ya TAG nguvu ilianza kupungua tangu kipindi kile cha KULOLA kuanzisha EAGT. Lakini wakajitahidi sana kukaa ktk mstari wa unyoofu hapa na maanisha kuhubiri na kuishi sawa sawa na NENO la Mungu yaani utakatifu. Kilichikuja kuharibu ni usasa hasa baada ya kuanza ile mikutano ya jagwani na kwingineko kwa kushirikiana na foreign ministries hasa za USA. Wale walipoingia wakaleta usasa taratibu wanawake wakaanza kuvaa suruali na kujiremba kanisani na kila aina ya mapambo. Hapa wakapunguza nguvh ya Mungu. Shetani akaanza kuingia taratibu ktk hayo makanisa uzinzi ktk kwaya ukawa kawaida...wachungaji kufumaniwa ikawa kawaida. Wakaibuka waimbaji binafsi ndani ya makanisa ikazidisha mgongano was kimaslai among singers. Mara wachungaji binafsi wakapata kibali kujenga makanisa yako lna kuyaendesha ilimradi tuu yako affiliated na TAG ie
mlima wa moto .
Tatizo likawa kubwa zaidi watu wakaanza kutafuta maslai na si injili tena. Ule umoto wao wa injili miaka ya 2000 kurudi nyuma umepotea kwa kazi lkubwa sana. Na sasa kuibuka kwa makanisa mengi ya kibinafsi yanayohubiri miujuza ujiza ya kitapeli mara maji chumvi mafuta ya upako sijui utapata gari nyumba mke mume utaenda ulaya yamekuwa changamoto kweli kwa TAG. TAG washajua ni wapi wamekosea ila wanaogopa gharama za kurudi ktk mstari wao kuhubiri utakatifu kwa wachungaji wavaa suruali wanawake au wanaume waziznzi ni gharama kubwa. Kuanza kuwaambia watu waache mapambo na vimini ibadani ni gharama kubwa sana kwao koz watakosa sadaka zao na kwenda kwingine. Hapa ndo ilitakiwa wampate anaza KULOLA kuwanyoisha siyo hiyo mijitu ina phd ya theolojia haina chchote. However wapo wachungaji ndan TAG kam KATUNZI anajua anafanya nini
Kwanza nikutulize, Je wewe ni mshirika wa kanisa la TAG? Kama ndio, umefanya nini kulisaidia kanisa lisipoe? Au unafikiri hiyo ni kazi ya wachungaji na maaskofu peke yao?Habari za muda huu waungwana?
Natumai mnaendelea vizuri hasa baada ya mihangaiko ya siku.
Niende moja kwa moja kwenye mada niliyokusudia kuianzisha leo.
Kwa wale wakristo mtakua mpo aware zaidi kuhusu ukristo ulivyo na ulivyo hapa nchini.
Miaka ya nyuma kidogo ukristo ulikua imeenea zaidi kwa makanisa ya Romani Catholic, Lutheran na Pentecoste. Miaka ilivyokwenda zaidi ndipo tulipo shuhudia idadi kubwa ya makanisa hapa nchini.
Nakumbuka miaka ya 2000 kanisa la TAG lilianza kuja kwa kasi sana. Kufikia miaka ya '03-0'5 walikua wanasikika sana kutokana na makongamano makubwa na mahubiri yao.
Hawa watu walikua wanaponda sana makanisa mengine hususan wakatoliki.Hapa ndipo walipopata waumini wengi kutoka makanisa kongwe niliyotaja hapo juu kutokana na miujiza waliyokua wanafanya makanisani mwao kama kutoa pepo na kuombea wagonjwa just little to mention.
Walikua kwa kasi sana na hapa matajiri wengi pia walihamia huko wakajenga makanisa nchi nzima na kukua kwa kasi kutokana na styl yao mpya ya kuabudu na mahubiri.
Ilikua changamoto sana kuoa binti wa kilokole enzi hizo.Ilifika mahali mtu akitoka katoliki,lutheran au pentecoste akajiunga TAG alikua anatengwa na familia na ndugu na aliitwa muasi.Ikafika mahali kukawa na kama ka uadui fulani kati madhehebu hayo.
Enzi hizo karibu kila mlokole alikua anaweza kutoa pepo na kuongea zile lugha zao.
Miaka ilivyo anza kwenda sasa;taratiiibu ile power yao ya ku preach na kufanya miujiza ikaanza kupotea na kufifia.
Hivi sasa wameshazoeleka na wapo very normal sana.
Hivi sasa wana intergrate na wakristo wengine vizuri sana tofauti na zamani.
Maswali yangu:
1:Kwanini TAG wamepoa sana na hawapo hot kama zamani?
2:Je mi kwa sababu waumini wamesha jaa hivyo basi hawana nia ya ku expand zaidi?
3:Au ni utandawazi unachangia?
Karibuni kwa mawazo
Punguza povu kijana,TAG sio kanisa ni kikundi cha wapiga dili kwani ukiangalia misingi yake inathibitisha hilo.Kwanza nikutulize, Je wewe ni mshirika wa kanisa la TAG? Kama ndio, umefanya nini kulisaidia kanisa lisipoe? Au unafikiri hiyo ni kazi ya wachungaji na maaskofu peke yao?
Kama wewe sio mshirika (mtazamaji), unangoja nini kuokoka? Unapata wapi ujasiri wa kulikosoa kanisa ikiwa wewe sio mshirika na wala huhusika?
Unajua maana ya "KUOKOKA" wewe..????Kwanza nikutulize, Je wewe ni mshirika wa kanisa la TAG? Kama ndio, umefanya nini kulisaidia kanisa lisipoe? Au unafikiri hiyo ni kazi ya wachungaji na maaskofu peke yao?
Kama wewe sio mshirika (mtazamaji), unangoja nini kuokoka? Unapata wapi ujasiri wa kulikosoa kanisa ikiwa wewe sio mshirika na wala huhusika?
unatakiwa ujibiwe kimaandiko.Kifupi ni kwamba siku za mwisho upendo wa wengi utapoaHabari za muda huu waungwana?