Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,056
- 4,608
kanisa jingine hili mama yangu limegeuzwa msikiti
Hili ni jambo jema sana kuliko michango mingine ya kipuuzi, tena inatakiwa bima first class ambayo mpaka Agha Khan anatibiwa.Huko nyanda za juu kusini kuna mchango pia unaitwa mchango WA BIMA YA MAPADRE
Mtu ambaye si mkatoliki hawezi kuorodhesha yote hayo ambayo ni kweli tupu.Nina mashaka kama we ni mkatoliki. Maana umoja wa wanaume wakatoliki hauitwi WAWAKA wala umoja wa wanawake hauitwi UWATA.
Rudi kwa aliyekutuma akuelekeze vizuri ndo uje na andiko hili tena.
Baraza la walei kila jumapili wanatowa weekly financial report kwenye matangazo na December hii inatolewa repoti ya fedha ya mwaka.Yani unatoa tu? Afu hamna mapato na matumizi
Usipotoa wewe wapo wanaowiwa kutoa.Endeleeni kutumia maneno mazuri na vitisho ili mpate sadaka na michango ila hamnipati tena
Siyo kweli, acha kudanganya usidhani wakatoliki wajinga kihivyo,Niliwahi kuuliza Mapato na Matumizi nikaambiwa Kanisa sio Saccos..Since then Nimebadilisha utoaji wangu bora nisaidie ndugu/Jirani yangu mwenye shida halisi..Sio Kanisa.
Aliyekupa jibu hilo ni nani ?Niliwahi kuuliza Mapato na Matumizi nikaambiwa Kanisa sio Saccos..Since then Nimebadilisha utoaji wangu bora nisaidie ndugu/Jirani yangu mwenye shida halisi..Sio Kanisa.
Tatizo wala siyo kutowa bali ukweli ni kwamba idadi kubwa ya Watanzania maisha yetu ni ya kuungaunga tu hatuna vipato rasmi na vya uhakika.Hivi mlivyokuwa mnajengewa makanisa mazuri na misaada ya kanisa ulijua nani alikuwa anatoa? kuna watu walikuwa wanajitoa huko Ulaya, sas ni zamu yetu kujenga makanisa wenyewe, shule, hospitals na kuendesha taasisi zetu za kidini wenyewe! acha uvivu wa fikra TOA SADAKA NDUGU
Upo sahihi mkuu sijajua kanisa lao kwanini linafanya hivyo laiti ningejua ningefwatilia kujua usahihi wa hiyo kauliBaraza la walei kila jumapili wanatowa weekly financial report kwenye matangazo na December hii inatolewa repoti ya fedha ya mwaka.
Wewe ni mpagani, aliyekuwa fundi seremala ni Yusuf/Yosef/Joseph mchumba wake bikira Maria.Yesu mwenyewe alikua fundi seremala,sijui kwanini mapadri/ma askofu/wachungaji hawataki kufanya kazi za kuwaingizia kipato.
Siyo waroma ni Wakatoliki, je wewe ni dhehebu gani?Poleni waroma sio kwa michango hiyo
Lakini mkuu Ukristo siyo dini, labda waislamu ndio wana dini.Kwani ukichangia kujadili mambo ya ISIS unakua ni member wa ISIS siku hizi?
Mimi ni maoni yangu sina muda na huu uongo unaoitwa dini ila naheshimu wewe kuwa na dini ndiyo maana watoto wangu nimewaambia msimamo wangu kuwa siamini lolote kuhusu dini lakini wao ruksa kuabudu dini yeyote wanayoitaka iwatapeli na kwa bahati mbaya ninao wanne wote wameamua kutapeliwa na mapadre na masheikh na watu kama wewe. moja ni muislamu na wengine ni wakristu. Wanajua hilo kabisa kama sina muda na hiyo shughuli.
Kama nikiwaona nyie wafia dini mkishambuliana humu ninafurahi sana, maana mtu unafurahia na kujigamba mambo ya utapeli.
Message yako haieleweki ndiyo matatizo ya kufuata dini hayo. Soma vizuri ulichokiandika mkuu.Lakini mkuu Ukristo siyo dini, labda waislamu ndio wana dini.
Sijaelewa ni kwa nini Ukristo unaingizwa kwenye orodha ya dini.
Kanisa ni sehemu ya watu wote, ndio maana unawaona wale kina Bulldozer au Mzee wa Upako wanakwenda watu wa fini zote.
Jitahidi tu kumjuwa na kumpokea Yesu ndio mpango mzima.
Hakunaga dini.
Na sadaka zinafanya nini...Hili ni jambo jema sana kuliko michango mingine ya kipuuzi, tena inatakiwa bima first class ambayo mpaka Agha Khan anatibiwa.
Siyo waroma ni Wakatoliki, je wewe ni dhehebu gani?
Lutherani ibada moja unaweza kukuta ina sadaka 4 na bahasha juu.Mm KKKT bwana Matola